Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa avatar yako ni kama vile nakufahamBaada ya maombi ndiyo mwisho wa corona.
Habar yako mkuu. Nakusalimia tuMajirani baada ya kupiga hela za kutosha wameona waanze kutuiga.
Nakumbuka museven alikua role model wa team lockdown Tanzania pheeeeew
Habar yako mkuu. Nakusalimia tu
Ana masihara!Huyu si alisema eti Mungu Alikuwa bize wakati ule. Wanasiasa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Amen Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ana masihara!
JESUS IS LORD[emoji120]
Sio kwamba anamjua mungu ... Anacho kifanya anakijua .. Wameshapiga hela za WHO na za nchi zenye huo mradi wa corona so now ndio anataka kulirejesha taifa lake ktk hali ya kawaidaHuyu jamaa alijifanya anamjua sana Mungu, kwamba yuko bize na mambo muhimu, akadai Corona itaisha kwa Lockdown, sasa anajifanya kuoteshwa.
Waendelee kutuiga si tulishasahau mambo hayo
Uko sawa mkuu nimeitoa hii makusudi kwa maana wanamuiga kiongozi wetu Magufuli alivyofanya sisi sasa hivyi hatufikirii covid tena tunafikiria uchaguzi na uchumiSisi tunaombea mambo mengine huko tulishatoka