Rais Yoweri Museveni awasili Mombasa kwa ziara rasmi ya siku mbili

Kama namuona anavyonuna JPM.Lile bomba la mafuta limeishia wapi?
Sidhani bomba la mafuta la Uganda lipo kwenye agenda. Uganda ndio 'customer' mkubwa wa bandari ya Mombasa ukanda huu wote. Kuna mradi wa reli ya SGR ya kuelekea Uganda pia, kuna fursa nyingi sana za kibiashara kati ya Kenya na Uganda.
 
Kaguta si mtu wa kumuamini huyu akitaka kutuliza atatuliza tu.

Hilo sahau...Bomba kuhamishwa kwa sasa haiwezekani..Kwa sasa navyo ongea kuna makampuni yapo kazini yakifanya detailed design ya bomba hapa Tanzania....!! Nitakupigia picha siku nikipita watapo kuwa wameweka kambi
 
kumbe ndio naona uchumi wa tanzania unakuwa kwa kasi...itabidi sasa tununue land force one (bus)...ndio na sisi pia tubane matumizi..wasemaje hapo mr economics...

alafu badala ya kupoteza risasi...tuta rushwa moja hewani alafu tuurekodi ule mlio wa risasi then utakuwa unachezwa mara ishirini na moja...

bro ukiendelea hvo magu atakuwachia kiti...
 
Hapa rais Uhuru alikuwa Entebbe, Uganda
na hapa alikuwa kule China. Gwaride la heshima na mizinga 21 ni protokali ya ziara rasmi, yaani 'state visit' ya rais yoyote yule kwenye nchi karibia zote duniani.
 
Mimi na sema Uhuru angetumia pesa za matembezi na makaribisho kama kibaki tungekua vizuri..Tukumbuke kwamba hukuna serikali iliyo fanya vizuri kama ya kibaki
 
Hapa rais Uhuru alikuwa Entebbe, Uganda
na hapa alikuwa kule China. Gwaride la heshima na mizinga 21 ni protokali ya ziara rasmi, yaani 'state visit' ya rais yoyote yule kwenye nchi karibia zote duniani.
Haunielewi wewe, mimi na sema budget ya sherehe kama hizi imeongezeka mara karibu tano, ila hakuna benefit ya kisiasa za africa ama kwa uchumi..Kibaki alitumia fedha ndogo sana na maendeleo mengi
 
Haunielewi wewe, mimi na sema budget ya sherehe kama hizi imeongezeka mara karibu tano, ila hakuna benefit ya kisiasa za africa ama kwa uchumi..Kibaki alitumia fedha ndogo sana na maendeleo mengi
Unakurupuka tu kama kawa, hujui tofauti kati ya state visit/ziara rasmi na ziara za kawaida/courtesy calls. Umesema Rais U.K. huwa hapewi heshima kama za gwaride na mizinga 21. Nimekuekea picha akikagua gwaride Uganda na China. Rais Mwai Kibaki alikuwa anafata protokali hata zaidi ya rais U.K. Acha majungu, jadili vitu vingine vya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…