Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Hoja ya JPM kuwa tutilie mkazo tiba zetu ni ya msingi sana. Dawa nyingi sana tunazotumia leo ni dawa zimetokana na mitishamba au asili yake ni miti shamba.
Siku moja nilikuwa na kikohozi, jamaa yangu akaniambia ukichukua mizizi ya ya huo mmea na kutafuna unakata kikohozi. Kweli nilipotafuna kikohozi kilikata, tena kwa muda mrefu kuliko hata hizi dawa za viwandani. Dawa nzuri sana ile. Yeye aliambiwa na babu yake.
Dawa nyingi za kikohozi madukani zinatokana na mitishamba. Dawa kama Mucolyn XL, chestcoff, goodmorning, cofta na zecuff zote ni mitishamba.
Unaifahamu dawa ya ALu? Kirefu chake ni Artmether na lumefantrine, mchanganyiko wa dawa mbili. Hiyo artmether imetokana na mmea unaitwa artemisia.
Unajua quinine imetokana na mmea unaitwa Cinchona.
Asprin asili yake ni mimea.
Dawa nyingi sana asili yake ni mimea.
Tukitafiti mitishamba yetu kitaalamu tutafaidika sana.