UmenenaMoja ya malengo ya elimu iwe ni kuweza kupambana na mazingira yatuzungukayo na kuweza kuyatafsiri katika nyanja zote.
Kuwe na mahusiano ya moja kwa moja ya vyuo ili kuunganisha nguvu za kitafiti kwenye jambo fulani, mfano; SUA akiungana na MUHAS, wakawashirikisha wazee wa tiba asili, kwa pamoja wakazama porini huko, bila shaka tutapata sio tu dawa asili lakini pia dawa za kimaabara nzuri tu.
Ingawa sasa hawa hawa wataalamu wetu wana mawenge wenge sana, wanafaulu tu mitihani, application ni zero.
Ingawa sasa hawa hawa wataalamu wetu wana mawenge wenge sana, wanafaulu tu mitihani, application ni zero.