Rais Zelensky aomba watu duniani waandamane kuipinga Urusi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24

Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka watu waingie mitaani an viwanjani kufanya sauti zao zisikike kuhusu kupinga hatua za Urusi

Mgogoro wa Urusi na Ukraine umesababisha matatizo mengi duniani ikiwemo kupanda kwa bei za mafuta na chakula kwa nchi zinazoendelea
===
Zelensky Urges Global Protests Against Russia

The Ukrainian President has urged citizens around the world go out and protest against Russia's operation in Ukraine.

"Come with Ukrainian symbols to support Ukraine, to support freedom, to support life," Zelensky said in a video address in English. "Come to your squares, to your streets, make yourselves visible and heard."

RT News
 
Situnapewa taarifa kila siku kuwa Urusi anachapika

Kwahyo tumlaani ambae anadundwa kipigo tu kinamtosha

Na hii ndio ubaya wa propaganda hatimae ukwel unajulikana.
 
Mara ooh wanajeshi wa Urusi wana uza tanks mara ooh miji inarudishwa Mara ooh tumeua wanajeshi kadhaa wa kadhaa wa Urusi,kumbe Kuna kichapo cha kufa mtu

Jana DW mtanzania aliye Urusi aliwaumbua kwenye mahojiano

Mtangazaji: vipi wananchi wanazungumziaje Vita hii

Mtz:wananchi hawa habari na Vita wanaendelea na shughuli zao Kama kawaida.

Mtangazaji: vipi waandamanaji katika mji mkuu Moscow

Mtz:maandamano ya watu 50 Kati ya watu mamilioni sio maandamano

[emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa ni genius katika kipengere cha uigizaji especially kwa upande wa comedy...
Anachonifurahisha zaidi ni kwamba, yeye yupo Polland huku akirekodi video kadhaa akiigiza kama vile bado yupo ndani ya Ukraine.
I LIKE HIM.
 
Mara ooh wanajeshi wa Urusi wana uza tanks mara ooh miji inarudishwa Mara ooh tumeua wanajeshi kadhaa wa kadhaa wa Urusi,kumbe Kuna kichapo cha kufa mtu

Jana DW mtanzania aliye Urusi aliwaumbua kwenye mahojiano

Mtangazaji: vipi wananchi wanazungumziaje Vita hii

Mtz:wananchi hawa habari na Vita wanaendelea na shughuli zao Kama kawaida.

Mtangazaji: vipi waandamanaji katika mji mkuu Moscow

Mtz:maandamano ya watu 50 Kati ya watu mamilioni sio maandamano

[emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1][emoji1] chombo Cha habari Cha mabeberu kimeaibika sana.
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24

Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka watu waingie mitaani an viwanjani kufanya sauti zao zisikike kuhusu kupinga hatua za Urusi

Mgogoro wa Urusi na Ukraine umesababisha matatizo mengi duniani ikiwemo kupanda kwa bei za mafuta na chakula kwa nchi zinazoendelea
===
Zelensky Urges Global Protests Against Russia

The Ukrainian President has urged citizens around the world go out and protest against Russia's operation in Ukraine.

"Come with Ukrainian symbols to support Ukraine, to support freedom, to support life," Zelensky said in a video address in English. "Come to your squares, to your streets, make yourselves visible and heard."

RT News
Yaani achokoze mwenyewe ,halafu sisi tuandamane ampane ila siku zake za uhai zinahesabika tutamnyonga km sadam alivyonyongwa na marekan

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom