Rais Zelensky aomba watu duniani waandamane kuipinga Urusi

Ni jamaa mmoja muhuni muhuni tu aliyeingizwa ikulu ya Ukraine na Mabeberu, hivyo don't be surprised kuona anayoyafanya maana anatimiza matakwa ya waliomuweka madarakani.
Sijui Anajikuta nani.Yaani ananikera. Aanze yeye kuandamana.
 
Huyu jamaa anaingiza tabia za celebrities kwenye siasa na maisha ya watu.
Yaani kutegemea media na supports ambazo hazina msaada wowote kwa wananchi wake.

Hichi ndicho kinachotokea ukimpa uongozi msanii especially comedian, support wala media havitozuia hivyo vita na vifo vya innocents.
 
Sioni ajabu hata vita vya iraq, libya, Syria, Afghanistan na palestina ulishabikia wamagharibi!!! Au si hivyo!
Mkuu tunalaani mauaji kote kote, sasa ni wakati kuilani russia na Putini kwa mauaji vile vile
 
Bwege tu huyo waache wafe tu ndio wajue vita ata sisi huku africa inatuumiza ila hutana wa kututea
 
The UK has announced that it is completely freezing the assets of Sberbank and Moscow Credit Bank.
Galip SV
 
EU diplomats fail to agree on a ban on Russian coal imports and a new package of sanctions against Russia - Reuters.
Galip SV
 
Russia will take mirror measures against British media in response to restrictions imposed by Britain - Zakharov.
Galip SV
 
The supply of weapons by the West to Kiev will not be able to stop Russia and prevent the achievement of its goals, Peskov said.
Galip SV
 
The Minister of Economy of Germany threatened Hungary with isolation for paying for gas in rubles.

Robert Habek noted that the actions of the Hungarian Prime Minister Orban contradict the decision of the G7.

The G7 participants agreed to pay for Russian energy resources in the currencies specified in the contracts - dollars and euros.

At the same time, the Minister of Economics of Germany, shortly before that, said that Germany was faced with “new poverty” due to rising oil and gas prices, and asked the Germans to save energy.
Galip SV
 
UK introduces new anti-Russian sanctions:

— prohibits the export of oil refining equipment to Russia;

— establishes a ban on new investments in Russia;

- prohibits the import of Russian goods made of iron and steel;

- completely freezes the assets of Sberbank and the Moscow Credit Bank;

- added eight more Russians to the sanctions list, including Mikhelson, Dyukov and Rotenberg.
Galip SV
 
Huyu jamaa ni genius katika kipengere cha uigizaji especially kwa upande wa comedy...
Anachonifurahisha zaidi ni kwamba, yeye yupo Polland huku akirekodi video kadhaa akiigiza kama vile bado yupo ndani ya Ukraine.
I LIKE HIM.
Maweeee!! huyu KGB wa kutupwa na kaoza kwa kazi ya ushushu! ....israel waliombwa Mashine za kudaka Mabomu ya Russia waya hudi wa kamstukia mbaya!....anacheza na akili za wajinga NATO
 
Ameshindwa kuwatii UN USA NATO.... Sisi akina jumanne na mwajuma ndala ndefu wa mbagala na tandale hata tuandamane uchi hawezi kubadili msimamo wake.....


Wadau tutafuteni ugali na dagaa tule tushibe tulale

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndio anajifanya anawapiga wa Russia kutwa kulia lia maji ya shingo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…