Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Russia sio zimbabwePutin soon atakamatwa kama saddam hussen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia sio zimbabwePutin soon atakamatwa kama saddam hussen
KabisaMarafiki wa Putin ProRussia ,Warusi wa Buza ni wale wanaotetea itikadi kali!
Nenda kasome the Roma statute, umekula ugali ukashiba unaleta hadithi za Buricheka na Wagagagikoko.ICC ipo mbioni kutoa arrest warrant.
Hawa walizoea kuwapa vitisho wasioelewa kitu......kwa sasa dunia imebadilika wao wapo na mikwara yao ya enzi hizo waliorithishwa na mababu zaoNenda kasome the Roma statute, umekula ugali ukashiba unaleta hadithi za Buricheka na Wagagagikoko.
You must be joking.Putin soon atakamatwa kama saddam hussen
HiyoHizo kauli za Zelensiky hazinishangazi kwa sababu tunajua anatumia "madawa ya kulevya"
Bush alipewa kibali na LuciferMnajua Bush peke yake ameua wangapi?Iraq peke yake US chini ya Bush ameua kati ya raia 100,000 -400,000!Figure kutoka vyanzo mbalimbali zinachezea kwenye range hiyo!
Hao ni Civilians pekee!
Ndo tabia zenu vibaraka wakubwa nyie !! kujitetea tayari eti awe katili mlitaka apigwe ndo mfurahi?? USA kule kooote inafuata nini Ukraine??.....Exactly., Putin ni gaidi No.1 amewaulisha hadi ndugu zake kuwapeleka vitani na kutojali maisha yao, askari karibu 45,200 wa urusi wameenda na maji na bado anafikiria kuwapeleka wafungwa pia vitani wakapigane ili awafutie mashtaka badala yake., jamaa ni muuaji sana wala hajali
akil zko hazina tofaut na meeeeeeh , Baada ya kujiuliza Urusi kafuata nn Urusi wkt wenyej hawamtak , ww unajiuliuza USA kafuata nn wkt unaona msaada anaotoa kwa UkraineNdo tabia zenu vibaraka wakubwa nyie !! kujitetea tayari eti awe katili mlitaka apigwe ndo mfurahi?? USA kule kooote inafuata nini Ukraine??.....
ni sawa .mke umemuacha, simchukii ..........unamuudumia hapo karibu na kwako, afu adui yako anammendea wkt weye mume wa zamani unampelekea hela ya matumizi na analala nyumbani yako!
kwanini huyo Malaya mpenda vya bure vya watu asipigwe??? ........jimke nalo lina shabikia naanza nalo hilo limke kwanza ili liache umalaya! kata hilo liki-Misi tena kwa panga butu!..likome umalaya wa wazi bila aibu!
Uko ovyo sana sijui umeandika upuuzi gan hapa., Russia hana nafasi tena ukraineNdo tabia zenu vibaraka wakubwa nyie !! kujitetea tayari eti awe katili mlitaka apigwe ndo mfurahi?? USA kule kooote inafuata nini Ukraine??.....