Raisi anapokuwa dikteta basi huondolewa madarakani kwa nguvu

Raisi anapokuwa dikteta basi huondolewa madarakani kwa nguvu

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima.

Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea kutawala kwa mabavu.

Musevi ana jambo la kujifunza kwasababu yeye amekuwa ni mvunjivu wa haki za binadamu jambo ambalo litamgarimu maisha yake siku za mbeleni.

Maraisi wanapaswa kuheshimu demokrasia kwa gharama zote kwani kwakutokufanya hivyo hawatabaki salama.
 
Back
Top Bottom