Raisi atoe tamko juu SDRS ya Tz ndani ya IMF ktk kupata uchumi usio chini ya neo colonialism

Joined
May 16, 2016
Posts
13
Reaction score
1
SERIKALI ZALENDO ILIPASWA IELEZE WATZ NAMNA IMEJIANDAA KUJITOA KTK MASHIRIKA KANDAMIZI KAMA IMF (International Monetary Fund) Ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu ktk njia ya kunufaisha mataifa ya wazungu. Namtaka Raisi John .

Pombe Magufuli atoe tamko ya namna tutachukua pesa zetu ktk Special Drawing Rights -SDRs au kiuchumi tunaita PAPER GOLD akaunti Tz tumefungua ndani ya IMF- SDR 551.35 million USD (397.8 million SDR).

KAMA SOUTH AFRICA WANAVYOTAKA KUTOA NCHI YAO KTK MAHAKAMA YA UHALIFU YA KIMATAIFA AMBAYO PIA NIKAMA IMF na uonevu wa riba kubwa
 
Unamtaka? Wewe ni lisu?

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…