Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa mleta mada kuna kabila No 1 hadi No.44
Nenda zako! Ni kitu gani kuhusu Kenya kinaweza kusikitisha wewe? Tangu lini? Mnafiq mkubwa sana wee.Hii kiukweli imenisikitisha kuona majirani zetu baada yaku waunganisha wa Kenya inawagawa. Kwa namna hii ukabila kuisha Kenya ni ndoto. Na mshukuru Nyerere aliweza kuuwa ukabila Tanzania nakutuunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili....View attachment 548220
Nenda zako! Ni kitu gani kuhusu Kenya kinaweza kusikitisha wewe? Tangu lini? Mnafiq mkubwa sana wee.
Ukabila wetu mwahifurahia tena sana, na tukianza kuchinjana hivi sasa wewe ndiye utakuwa wa kwanza kukenua haya meno yako kwa furaha.
Ati 'imenisikitisha'.
Well saidHii kiukweli imenisikitisha kuona majirani zetu baada yaku waunganisha wa Kenya inawagawa. Kwa namna hii ukabila kuisha Kenya ni ndoto. Na mshukuru Nyerere aliweza kuuwa ukabila Tanzania nakutuunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili....View attachment 548220
Ulitaka ajue nani future yako?Bora huyo Rais wa Kenya kaunganusha Wakenya na Kabila la wahindi. Huyu wa kwetu Mzee wa PhD feki anazidi kutugawa Watanzania kwa ukanda, ukabila na siasa!!
Huyu makufuli anakolipeleka Taifa ni Mungu tu ndiye anajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli.Hii kiukweli imenisikitisha kuona majirani zetu baada yaku waunganisha wa Kenya inawagawa. Kwa namna hii ukabila kuisha Kenya ni ndoto. Na mshukuru Nyerere aliweza kuuwa ukabila Tanzania nakutuunganisha kwa lugha moja ya Kiswahili....View attachment 548220
Si kweli.
Nyerere hakukuta watu ambayo hawajaungana,
Kiswahili alikikuta kinaongewa tayari hata kwao.
Msitake kuleta historia ambayo haikuwepo.
Mtoro bin Mwinyi Bakari
Swahili lecturer and author in Germany
This book presents a study of the life history of Mtoro bin Mwinyi Bakari (c. 1869 - 1927). Mtoro bin Mwinyi Bakari grew up and studied Islamic Sciences in Bagamoyo, Tanzania. He became a Swahili lecturer and author in Germany African Books Collective: Mtoro bin Mwinyi Bakari
Hamia Kenya uwe "Mtanzania" kabila No.45, utuachie nchi yetu.Bora huyo Rais wa Kenya kaunganusha Wakenya na Kabila la wahindi. Huyu wa kwetu Mzee wa PhD feki anazidi kutugawa Watanzania kwa ukanda, ukabila na siasa!!
Huyu makufuli anakolipeleka Taifa ni Mungu tu ndiye anajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Kenya uwe "Mtanzania" kabila No.45, utuachie nchi yetu.
Hao mliowapokea ni wamakonde au watu wa Msumbiji?Mbona tumewapokea Wamakonde...
Hao mliowapokea ni wamakonde au watu wa Msumbiji?
Sasa hao wahidi wenu waliopewa ukabila namba 44, wanakuwa wahindi au wakenya?
Sisi ni Watanzania, haya makabila ni masuala ya mila na desturi na isn't an issue ya kitaifa. Ukabira kwetu hauhutaji a presidential certification or recognition!