Nadhani tatizo lilikuwa ni tribe No.44This thread finally confirms the Tanzanian's stupidity... The president has united Kenyans by making the Indian community a Kenyan community. It shows you are Kenyan first before anything, and if you can not see that you are stupid, very stupid.
Nijue kuria twaumire no rugano rou rwa Israel nindiwoigwete muno. Turi ciana cia Ngai,hau ni ma! Nikii utarenda gwitwo muyahudi muiru we?Hehe🙂Hehehehe!! Nìkìì wee úrenda kuuga ndúì kúrìa twaumirì
Japo huwa kuna nadharia nyingi za kuhusu asili yetu Wakikuyu, kuna wanaosema tulitoka Ethiopia sehemu inaitwa Axum. Lakini nyingine inasema tulitokea Kongo, tukaingia Tanzania na kuishi pale Kilimajaro, kipindi hicho babu zetu walipaita 'Kirima-kia-njeru' au 'mlima mweupe', hatimaye tukapitia karibia na Pwani na kuishia mlima Kenya.
Sawa baada ya nasaha hizo jielekeze kwenye hoja.Dah! Kiswahili chako huwa kibovu sana jamaa, kama Nyerere aliwaunganisha kwa kutumia Kiswahili, basi wewe alikusahau. Hivi wewe huwa unawasiliana kivipi, maana hujui Kingereza, halafu wengi wenu hamjui kuongea lugha zenu za asili, ilhali Kiswahili chenyewe unaandika majanga hadi unatia kichefuchefu.
Historia yangu na ya jamii yangu naijua vyema sana! Punguza mapepe jombaa nilikuwa namjibu MK254 nikimtania. Sijui kwanini unaanza kuleta stori za Moses Kuria hapa. Mtu kama wewe wakikuyu huwa wanamuambia,'menya ciaku nyamenyamenya' au ukipenda 'thie ukiumaga'!ona ulivyomtumwa wa kifikra...kikuyu(bantus) na uyahudi wapi na wapi?....ndivyo ulivyodanganywa na mwalimu wako wa somo la historia?.
bantus wote asilia yao ni congo forest.
Nadhani tatizo lilikuwa ni tribe No.44
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)Historia yangu na ya jamii yangu naijua vyema sana! Punguza mapepe jombaa nilikuwa namjibu MK254 nikimtania. Sijui kwanini unaanza kuleta stori za Moses Kuria hapa. Mtu kama wewe wakikuyu huwa wanamuambia,'menya ciaku nyamenyamenya' au ukipenda 'thie ukiumaga'!
There were 42 tribes, the Wamakonde requested to be one of the Kenyan tribes, then there were 43... The Indian community requested and the Kenyans represented by their President said, yes welcome, you can be one of us. It is like a family adopting another child...the child will be called 4/5/6 child. Another tribe in kenya will be the 44/45... tribe in Kenya.Nadhani tatizo lilikuwa ni tribe No.44
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)
"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".
Afu ukishapata wa kukutafsiria tupe mrejesho.Pia mpe jamaa tafsiri ya nilichomuambia.For fair play,naona ni kama anadhani nilimtusi.Subiri nimtumie jamaa wangu Mngoni anitafsirie, hehehe ila hongera kama umeandika mwenyewe bila kuomba msaada kutoka kwa mzee fulani.
Huwa napenda sana watu wenye kutambua asili zao, hata kama tunaunganishwa sote kwa lugha moja ya Kiswahili lakini kila mmoja wetu ana babu zake, ana asili yake, ana mahali alikotoka na ni muhimu sana kuwaelimisha watoto wetu hilo, sio kuvaa milegezo mjini na kuishi kama watumwa.
MK254, tafadhali utuambie huyo kasema nini hapo. It seems funny, it cracked me up ingawaje sijaelewa kitu.Afu ukishapata wa kukutafsiria tupe mrejesho.Pia mpe jamaa tafsiri ya nilichomuambia.For fair play,naona ni kama anadhani nilimtusi.
uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)
"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".
Hiyo ni lugha ya 'hunters and gatherers' na hapa Kenya hawapatikani virahisi. Sisi tunajua tu wakulima wa vyakula na wa mifugo. Hutaweza kuelewa jombaa hata ujaribu vipi!😀MK254, tafadhali utuambie huyo kasema nini hapo. It seems funny, it cracked me up ingawaje sijaelewa kitu.
kadoda usidhani katusiwa..ila jamaa amesema kwamba mwenyewe analifahamu kabila lake hivyo wewe "ujishughulishe na mambo ya kwako=menya ciaku nyamenya"ama ukipenda ùthie ùkíomaga..yani go drying[emoji23] [emoji23] ni kamsemo maarufu sana kakiwa na maana sawa na shughulika na yanayokuhusu...uzuri hapo ulipoandika kwa lugha ya Kikuyu sijaelewa umeandika nini,laiti kama ningeelewa,ningekujipu kwa lugha yangu ya kabila la wangoni wa tanzania kama hivi (there are ngoni communities in tanzania, south africa,zimbabwe,mozambique,zambia and malawi)
"n'ndolahi hotu mundu waki woo...ngeta mundu wa nkenya hyola yanahiminganaku lichovalela pa river road pala-nairobi. ...ayili mewawa.....mihu haki wajova litombele".
hakuna jambo lolote baya nililoandika hapo zaidi ya utani tu.Ahaaa, nimeshikanisha hapa kidogo.
Unasema wakenya wanajiringa huku wamevaa nguo/suti feki kutoka River Road....and I think.....kuna suala la umaskini wetu hapa....
mtumie tu...akikupa maana yake utacheka sana....ni utani tu wa kawaida.Subiri nimtumie jamaa wangu Mngoni anitafsirie, hehehe ila hongera kama umeandika mwenyewe bila kuomba msaada kutoka kwa mzee fulani.
Huwa napenda sana watu wenye kutambua asili zao, hata kama tunaunganishwa sote kwa lugha moja ya Kiswahili lakini kila mmoja wetu ana babu zake, ana asili yake, ana mahali alikotoka na ni muhimu sana kuwaelimisha watoto wetu hilo, sio kuvaa milegezo mjini na kuishi kama watumwa.
Najua ni ule utani tu kama kawa. Lakini kuna ka ukweli flani kuhusu nguo za River Road.hakuna jambo lolote baya nililoandika hapo zaidi ya utani tu.
Hiyo ni lugha ya 'hunters and gatherers' na hapa Kenya hawapatikani virahisi. Sisi tunajua tu wakulima wa vyakula na wa mifugo. Hutaweza kuelewa jombaa hata ujaribu vipi!😀
yah according to what the white people have written in their books....books which are also used to teach students at schools.Btw, si ni wangoni walifurushwa South Afrika na King Shaka wa Zulu?
Hawa walikuwanga hunters and gatherers
Wahindi sio kabila...maana wao wanagawana zaidi kuliko hata wakikuyu na waluo.Dah! Kiswahili chako huwa kibovu sana jamaa, kama Nyerere aliwaunganisha kwa kutumia Kiswahili, basi wewe alikusahau. Hivi wewe huwa unawasiliana kivipi, maana hujui Kingereza, halafu wengi wenu hamjui kuongea lugha zenu za asili, ilhali Kiswahili chenyewe unaandika majanga hadi unatia kichefuchefu.