Raisi Biden apata mkosi wa kuchochea vita Ukraine

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo​

Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House.

Msemaji wa DC Metro Police aliviambia vyombo vya Habari kuwa “watu wengine wawili waliojeruhiwa katika Tukio hilo bado wapo Hospital huku hali zao zikiwa bado mbaya, Majina ya Majeruhi yamehifadhiwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria
 
Radi na vita ya Ukraine connection ikoje hapo?
 
Ni ajabu tangu taifa LA marekani kuasisiwa ila kwa Africa in kawaida.
 
Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo​

Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House.

Msemaji wa DC Metro Police aliviambia vyombo vya Habari kuwa “watu wengine wawili waliojeruhiwa katika Tukio hilo bado wapo Hospital huku hali zao zikiwa bado mbaya, Majina ya Majeruhi yamehifadhiwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria
Hizi radi zetu zinazopiga na kuua karibia kila mwaka inakuwa ni Tanzania imechochea vita katika nchi zipi?
 
Nyekundu itabaki kuwa nyekundu kamwe haiwezi kuwa bluu,ingelipuka tu .
 
Back
Top Bottom