Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo
Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House.
Msemaji wa DC Metro Police aliviambia vyombo vya Habari kuwa “watu wengine wawili waliojeruhiwa katika Tukio hilo bado wapo Hospital huku hali zao zikiwa bado mbaya, Majina ya Majeruhi yamehifadhiwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria
Dogo huu ufalla umeuanza lini?Utaelewa badae
Utaelewa badae
Kombora la Urusi hiloRadi na vita ya Ukraine connection ikoje hapo?
Ye mwenyewe kajiita kinikia.Radi na vita ya Ukraine connection ikoje hapo?
Hizi radi zetu zinazopiga na kuua karibia kila mwaka inakuwa ni Tanzania imechochea vita katika nchi zipi?Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo