Raisi kikwete awataka simba kuiombea yanga

moody kabwe

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
76
Reaction score
21
Rais kikwete amewataka watanzania kuungana pamoja kuiombea yanga hata kwa wale wasio mashabiki wa yanga mikia na wengine wote. Imetolewa na wizara ya Habari
 
Kuombewa na mikia ni nuksi kabisa. Yanga itasimama yenyewe na wanaYanga wake.
 
Rais kikwete amewataka watanzania kuungana pamoja kuiombea yanga hata kwa wale wasio mashabiki wa yanga mikia na wengine wote. Imetolewa na wizara ya Habari

Yeye anahitaji maombi kuliko yanga... He needs lots of prayer kwa kutusanii, maana tunamlaani kila uchao
 
Wameenda kufanya shopping Tunisia!!! hata wachezaji wanajua wanaenda kukamilisha ratiba baada ya hapo waingie madukani kununua pamba za kwendea escape one!!

Mwenye historia ya kimataifa ni Simba peke yake.. maana keshagawa dozi kote huko!!

Bingwa wa ligi ya Bongo ni kama mwanafunzi aliyefaulu kwa madesa na kununua paper!!.. Huwaga sioni impact ya YANGA kwenye michuano ya Kimtaifa,, angalau Simba hata Mwarabu akiambiwa kapangiwa mnyama chupi inambana!!

Tuombeeni Simba tuchukue nafasi ya pili.. ili tuanze na ninyi kwenye ngao ya hisani mapema!!
 
Hiyo nafasi ya pili msahau tu.
 
acha masikhara wewe nafasi ya pili tu unahitaji maombi ya kufunga kabisa.mechi za kimataifa sio itakuwa hadi kutoa kafara km zile mechi na kagera au kuwakuta ya libolo?
 
Ndio hapo sasa. Eti tuwaombee mechi za ndani huko nje wataenda kufanya nini sasa?
 
Wameenda kufanya shopping Tunisia!!! hata wachezaji wanajua wanaenda kukamilisha ratiba baada ya hapo waingie madukani kununua pamba za kwendea escape one!!

Mwenye historia ya kimataifa ni Simba peke yake.. maana keshagawa dozi kote huko!!

Bingwa wa ligi ya Bongo ni kama mwanafunzi aliyefaulu kwa madesa na kununua paper!!.. Huwaga sioni impact ya YANGA kwenye michuano ya Kimtaifa,, angalau Simba hata Mwarabu akiambiwa kapangiwa mnyama chupi inambana!!

Tuombeeni Simba tuchukue nafasi ya pili.. ili tuanze na ninyi kwenye ngao ya hisani mapema!!

LIBOLO ndo saizi yenu...mlishinda kombe gan CAF nyie? Enyimba iliwafanyaje? Hizo za Egypt zenyewe hamziwez na mlivobahatisha ndo ndo makele as if you won the trophy.. Shame upon you mikia fc fans..mtasubir sana
 
libolo ndo saizi yenu...mlishinda kombe gan caf nyie? Enyimba iliwafanyaje? Hizo za egypt zenyewe hamziwez na mlivobahatisha ndo ndo makele as if you won the trophy.. Shame upon you mikia fc fans..mtasubir sana

:d :d :d :d :d
 
Mnyama hakopeshi.. Uzuri wa soka hauna longolongo kama siasa ni statistics tu!!..

Nyie si mabingwa wa Ligi Kuu bara..haya watoeni waarabu! YANGA tangu izaliwe haijawahi kuwatoa waarabu huo ndiyo ukweli..

Angekuwa mnyama hapo.. uhakika aslimia 50!! Sasa nyie Kandambili yeboyebo mmeanda kufanya shopping tu!! Najua ukweli mchungu sina budi kuusema!!
 
Tupe mechi tano za kuwatoa waarabu....mbona unawivu kama mtoto wa kike alieachwa shopping ya Tunisia?
 
Dida, Juma , Oscar , Twite, Yondani , Makapu , Msuva, Telela , Tambwe , Ngasa na Sherman
 
Faizafox upo kila mahali kama tigo!!!!!!

Aisee, una matyuc wewe!

Kwa mwenendo huu, huyu prezidaa lazima jana alihudhuria ile party nyeupe. Mambo yake ni burdan, hapend stress.
 
aidha jakaya kikwete amewataka watz kuiombea simba ipate nafasi ya pili
 
Wameenda kufanya shopping Tunisia!!! hata wachezaji wanajua wanaenda kukamilisha ratiba baada ya hapo waingie madukani kununua pamba za kwendea escape one!!

Mwenye historia ya kimataifa ni Simba peke yake.. maana keshagawa dozi kote huko!!

Bingwa wa ligi ya Bongo ni kama mwanafunzi aliyefaulu kwa madesa na kununua paper!!.. Huwaga sioni impact ya YANGA kwenye michuano ya Kimtaifa,, angalau Simba hata Mwarabu akiambiwa kapangiwa mnyama chupi inambana!!

Tuombeeni Simba tuchukue nafasi ya pili.. ili tuanze na ninyi kwenye ngao ya hisani mapema!!

kwani mikia wana makombe mangapi ya CAF?
 
Back
Top Bottom