Raisi kikwete awataka simba kuiombea yanga

Tunaitaka yanga ngao ya hisani najua kwa uwezo tutafika nafsi ya pili
 
Wameenda kufanya shopping Tunisia!!! hata wachezaji wanajua wanaenda kukamilisha ratiba baada ya hapo waingie madukani kununua pamba za kwendea escape one!!

Mwenye historia ya kimataifa ni Simba peke yake.. maana keshagawa dozi kote huko!!

Bingwa wa ligi ya Bongo ni kama mwanafunzi aliyefaulu kwa madesa na kununua paper!!.. Huwaga sioni impact ya YANGA kwenye michuano ya Kimtaifa,, angalau Simba hata Mwarabu akiambiwa kapangiwa mnyama chupi inambana!!

Tuombeeni Simba tuchukue nafasi ya pili.. ili tuanze na ninyi kwenye ngao ya hisani mapema!!

wewe ni tatizo ndio maana toka mwaka juzi ubingwa wako ni kumfunga yanga tu badilika wewe!
 
Nyie mabingwa sawa.. haya pambaneni na mabingwa wenzenu!!.. Sisi tumeshawapiga hao mnaocheza nao.. In fact mechi hii inawapambanisha vibonde wa Simba maana wote walishachezea kichapo kwa mnyama!!
 
hivi hao etoile du sahel mliwafunga ngapi kweli Na matokeo ya jumla yalikuwaje? Naomba unikumbushe tafadhari
 
Tunaitaka yanga ngao ya hisani najua kwa uwezo tutafika nafsi ya pili

mbumbumbu kweli mikia..Haya ichukueni bac hiyo nafasi ya pili Halafu mtukute kwenye ngao ya hisani maana sisi tayari tumeashatangulia zamani tu kazi kwenu sasa
 
hivi hao etoile du sahel mliwafunga ngapi kweli Na matokeo ya jumla yalikuwaje? Naomba unikumbushe tafadhari

Alikula 3-1 taifa.. Kidogo acheze 5 kama nyie kandambili lakini mbili refa akazitia mfukoni!!!

Mnyama bwana inafika suala la kuwakilisha nchi ndipo utakapomjua!!
 
Mbona story imeishia njiani, mechi ya kule kwao ilikuaje? au MB zimekuishia ukaamua ku-submit haraka.
 
Sasa matokeo ya kule yanafaida gani.. Mwisho wa siku Mwarabu alibaki kudeki nyumbani maana alitolewa kwenye mashindano na Simba!!.. Labda kama unanyongeza zaidi ya hapo ongezea!!
 
Inapendeza kwa tusiojua tukafahamu baada ya hiyo 3-1 hapa Bongo kule ilkuaje!!! hata kama mnyama alisonga mbele, ndo maana ya aggregate mkuu.
 
Fatilia CAF utajua.. Nikufahamishe tu, mechi hiyo ndiyo iliyowafanya wamsajiri Emmanuel Okwi. maana mnyama alipiga mpira mwingi saanaaa!!!!!
 
Sawa mkuu naona record ya mechi ya marudio huna umeamua kunielekeza CAF, nitafanya hivyo ila kwa leo tuelekeze macho yetu Tunisia hatimaye tuje na mishangao ya mpira wa miguu. Ugambiree!!!
 
Fatilia CAF utajua.. Nikufahamishe tu, mechi hiyo ndiyo iliyowafanya wamsajiri Emmanuel Okwi. maana mnyama alipiga mpira mwingi saanaaa!!!!!

acha umbumbumbu mikia kama unaweza kuyakumbuka ya dar iweje ujisahaulishe ya tunisia.....kwa taarifa yako iwe unajua ama haujui mikia alichezea mkono kule....Halafu nyie si Ndio mliokandamizwa Na LIBOLO Pale taifa?
 
Acha hasira kandambili.. Nyie yeboyebo usije ukalia kama mwenzako huyu haya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom