kelvinkipeta
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 108
- 11
Je ni sawa raisi kuteuwa majaji?naomba hili pia litupiwe kwenye mabadil;ioko ya katiba.ni jukumu letu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa katiba ya sasa ndivyo inavyosema.
Rais kuteua jaji sio kosa ila katiba ingetamka kuwa mara baada ya rais kumteua jaji, ni lazima kamati ya bunge inayohusiana na mambo ya sheria na katiba imhoji mteule na kumpendekeza kwa rais kuwa anafaa au hafai.Baada ya kuangalia vigezo mbalimbali.