Raisi kuteua majaji ni sawa?

Raisi kuteua majaji ni sawa?

kelvinkipeta

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
108
Reaction score
11
Je ni sawa raisi kuteuwa majaji?naomba hili pia litupiwe kwenye mabadil;ioko ya katiba.ni jukumu letu
 
Kwa katiba ya sasa ndivyo inavyosema.
Rais kuteua jaji sio kosa ila katiba ingetamka kuwa mara baada ya rais kumteua jaji, ni lazima kamati ya bunge inayohusiana na mambo ya sheria na katiba imhoji mteule na kumpendekeza kwa rais kuwa anafaa au hafai.Baada ya kuangalia vigezo mbalimbali.
 
Tena mahojiano hayo yawe open to the Public
 
Back
Top Bottom