Kwa katiba ya sasa ndivyo inavyosema.
Rais kuteua jaji sio kosa ila katiba ingetamka kuwa mara baada ya rais kumteua jaji, ni lazima kamati ya bunge inayohusiana na mambo ya sheria na katiba imhoji mteule na kumpendekeza kwa rais kuwa anafaa au hafai.Baada ya kuangalia vigezo mbalimbali.