Raisi Mpya wa Botswana: Kama umeshawahi kuiba mali ya Serikali anza kukimbia sasa hivi

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Rais Duma Gideon Boko wa Botswana ametoa onyo kali kwa watu wanaotuhumiwa kufuja rasilimali za umma, akitangaza kuwa serikali yake itafuatilia urejeshaji wa fedha zilizoibiwa bila kujali ni lini wizi huo unaodaiwa ulitokea.

"Ikiwa umewahi kuiba kutoka kwa serikali, anza kukimbia sasa hivi!" Boko alisema huku akiahidi kuongeza juhudi za kupambana na ufisadi pamoja na hatua za uwajibikaji.

Matamshi hayo yanaashiria msimamo mkali zaidi dhidi ya ufisadi huku utawala mpya wa Botswana ukisukuma masuala ya utawala bora na uwajibikaji wa umma katika kiini cha ajenda yake.

Kauli ya Raisi Mpya WA Botswana juu ya ma fisadi
amejikuta yupo mpekwe ndani na juu ya wafalme wenye nchi na wenye kuongoza nchi bila maneno bali vitendo, right?

amejikuta mpweke bila mwananchi mpiga kura hata moja right?🐒
 
Rais Duma Gideon Boko wa Botswana ametoa onyo kali kwa watu wanaotuhumiwa kufuja rasilimali za umma, akitangaza kuwa serikali yake itafuatilia urejeshaji wa fedha zilizoibiwa bila kujali ni lini wizi huo unaodaiwa ulitokea.

"Ikiwa umewahi kuiba kutoka kwa serikali, anza kukimbia sasa hivi!" Boko alisema huku akiahidi kuongeza juhudi za kupambana na ufisadi pamoja na hatua za uwajibikaji.

Matamshi hayo yanaashiria msimamo mkali zaidi dhidi ya ufisadi huku utawala mpya wa Botswana ukisukuma masuala ya utawala bora na uwajibikaji wa umma katika kiini cha ajenda yake.

View attachment 3591011
Wanaanza(ga) vizuri ila baadae wakishalambishwa asali wanarudi kwenye Bizness As Usual.
 
Rais Duma Gideon Boko wa Botswana ametoa onyo kali kwa watu wanaotuhumiwa kufuja rasilimali za umma, akitangaza kuwa serikali yake itafuatilia urejeshaji wa fedha zilizoibiwa bila kujali ni lini wizi huo unaodaiwa ulitokea.

"Ikiwa umewahi kuiba kutoka kwa serikali, anza kukimbia sasa hivi!" Boko alisema huku akiahidi kuongeza juhudi za kupambana na ufisadi pamoja na hatua za uwajibikaji.

Matamshi hayo yanaashiria msimamo mkali zaidi dhidi ya ufisadi huku utawala mpya wa Botswana ukisukuma masuala ya utawala bora na uwajibikaji wa umma katika kiini cha ajenda yake.

View attachment 3591011
Wameanza kumuiga Mwendazake aliyetokeaga tizii 😳 !
 
Tumbua tu
 
dah huyu inaonekana kabisa yuko serious mpaka nimetamani kuhamia hii nchi
 
Back
Top Bottom