Raisi Museveni atangaza vita dhidi ya ufisadi!

Raisi Museveni atangaza vita dhidi ya ufisadi!

Magufuli ndo role model wake kwa sasa, nadhani atajitahidi kuwageuka aliofungamana nao
Nimeipenda hii kali...eti mtu aliyekuwa madarakani miezi 6 anakuwa role model wa mtu mwenye uzoefu wa miaka 30..this is very interesting
Anyway tofauti ya Magufuli na M7 ni moja...Vita ya Magufuli inatoka moyoni, na vita ya M7 juu ya mafisadi ni ya kisiasa..
Cc Pasco Mmawia Nifah Bavaria
 
Ni ahadi aliyotoa baada ya kuapishwa leo!

Cha kushangaza amekuwa raisi wa uganda kwa miaka 30, leo ndio anaaminisha wananchi wake kuwa atapambana na ufisadi katika miaka hii mitano!

Lets wait, Lakini Siasa za afrika ni SIIHASA!
TRUMPH NJOO UONE HUKU AFRICA WANAVOIFANYA DEMOCRACY
 
Back
Top Bottom