acha uropokaji gentleman,Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.
Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.
Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π

Heed this, youβll be glad you didβSiku utakapoweka mbele maslahi ya taifa, kale kaugonjwa ulikonako katapona jumla!acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π
acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π
Huyu Mama akamatwe kwa kweli na alazimishwe aachie nchi, hafai hata kidogo. Akamatwe yeye, mwanaye Abdul, Steve Nyerere (inasadikika ni yeye ndiye anayempa Shetani Abdul majina ya watu wanaompinga Mama yake). Jeshi letu (JWTZ) mtimueni huyu Mama, hatufai kwa kweli, na kablaya hapo ataifishwe kila mali ya umma aliyoiba.Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.
Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.
Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Huyu Mama kishakuwa janga sasa, alishaambiwa asijihusishe na Steve Nyerere kama msemaji wake mkuu na mshauri, amekataa na matokeo yake ndiyo haya sasa. Mama anachemka mpaka ananuka jasho na shombo.Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.
Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.
Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Hata kama mnauwa watu muachwe tu,nyie kina nani?acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π
Mama akamatwe na kufungwa, atuachie nchi yetu maana anaichafua mno.Raisi Samia acha kulaumu watu na kutuingiza kwenye matatizo yako binafsi
1. Hatuongiliwi na Kenya ni unyanyasaji, utekaji na kesi zisizo na mshiko kwa wapinzani wako ndizo zimeleta matatizo. Ubinafsi wako ndiyo umetufikisha hapa . Sasa usitake kutuletea matatizo na Kenya kwasababu ya uchungu wako wa madaraka. Tatizo ni wewe sio Watanzania
2. EA community ikifa mikononi mwako ni wewe sio Watanzania. Watanzania wanataka chaguzi huru sasa hilo ni lini limekuwa jinai!!
3. Kukitokea vurugu ni wewe kwanini watu wanatekwa na Polisi na usalama wako hawafanyi lolote. Hizo ripoti unazoombaga za mauaji kwanini huweki wazi je ni nani unamlinda au ni wewe ndiye unawatuma.
Usituingize Watanzania wazalendo kwenye ubinafsi wako na familia yako na kufikiri watanzania wata kutetea kwenye mauaji, uonevu na rushwa. Wazalendo wanapiga picha Mikataba kwasababu ya ufisadi.
Ukipigana na rushwa na kuweka sheria za chaguzi za haki na uhuru haya yote yasinge tokea. Kuteka na kuuwa tangu 2017 wakati wa Magufuli haijasaidia lolote
Huu ni ukweli uliodhahiriSamia hana uwezo, kapewa kazi kubwa kuliko uwezo wake. Hawezi kuacha kulaumu.
Rais kulaumu laumu ni ishara ya udhaifu.
Huoni hata aibu kuandika huu ujinga wako wewe shetaniacha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π
Hujui lolote mpuuzi wewe. Ni mara ngapi serikali yetu imeingilia mataifa mengine kwa kigezo cha kuwatetea wanyonge. Tumepereka mpaka majeshi, wasuluhishi na hata kuweka madarakani vibaraka wetu. Jujui lolote.acha uropokaji gentleman,
hatuwezi kuwavumilia magaidi kutokea popote duniani kuja kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania hata kwa sekunde moja.
Daima tutaruka nao jumla jumla vibaya sana next time wakirudia, japo ni wazi hawatathubutu kukanyaga Tz tena.
ushauri wa bure kwao.
Ni afadhalli waje kwa kuonekana kuliko kujificha, ambayo itakua ni hatari zaidi kwao π
Tuseme AminaBaada ya mauwaji ya Ali Mohamed Kibao, mheshimiwa rais aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze mauaji na apewe majibu haraka.
Lakini mpaka leo karibia mwaka mmoja tangu auawe.
Zaidi, wameuawa na kutekwa raia wengi zaidi.
Hii damu ya watu wasio na hatia, na machozi ya watu ya haki ipo siku CCM yetu na Rais watayalipa mbele za Mungu mkuu sana, mwenye kuumba vyote. Ambaye anawaona watu wake kuanzia ndani mpaka nje.