Raisi Samia kawaangusha viongozi wanawake sana kwa miaka mingi🤦🏾‍♂️

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Raisi Samia kawaangusha sana viongozi wanawake kwa kutokutumia nafasi yake vizuri

1. Kuonekana muongo kwa kusema vitu bila kutekeleza
2. Kuonekana kama wanawake hawana misimamo kwa kubadilika badilika kuanzia kwenye maridhiano leo kabadilika. Mikataba ya wazi leo kabadilika nafasi yake vizuri mifano mingi
3. Kuonyesha kumbe wanawake nao ni wala rushwa kwa kuto kemea wala kufanya jitihada kupunguza rushwa
4. Wanawake hawana upendo kwa utekaji na unyangasaji unao endelea
5. Wanawake sio wakweli hakuna tofauti kwa mikataba ya kisiri
6. Wanawake wapigaji kwa rushwa iliyo vuka mipaka
7. Uchungu wa madaraka tunaona anavyopinga mabadiliko

Sasa kwa wale viongozi wanawake wajao watapata shida sana. Kapoteza nafasi muhimu sana na wengj hatujivunii tena Raisi Samia kama ilivyokuwa 2021-2022
 
Uyo ni Dalali w kimataifa TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ni kama vile Bi Mkubwa kwa sasa ametekwa na kundi kubwa la mbwa mwitu wakali. Yaani amebadilika tu ghafla from positive, to negative!
 
Raisi Samia kawaangusha sana viongozi wanawake kwa kutokutumia nafasi yake vizuri

1. Kuonekana muongo kwa kusema vitu bila kutekeleza
2. Kuonekana kama wanawake hawana misimamo kwa kubadilika badilika kuanzia kwenye maridhiano leo kabadilika. Mikataba ya wazi leo kabadilika nafasi yake vizuri mifano mingi
3. Kuonyesha kumbe wanawake nao ni wala rushwa kwa kuto kemea wala kufanya jitihada kupunguza rushwa
4. Wanawake hawana upendo kwa utekaji na unyangasaji unao endelea
5. Wanawake sio wakweli hakuna tofauti kwa mikataba ya kisiri
6. Wanawake wapigaji kwa rushwa iliyo vuka mipaka
7. Uchungu wa madaraka tunaona anavyopinga mabadiliko

Sasa kwa wale viongozi wanawake wajao watapata shida sana. Kapoteza nafasi muhimu sana na wengj hatujivunii tena Raisi Samia kama ilivyokuwa 2021-2022
Kwanza anaonekena ni kilaza kabisa. Kwa mara nyingine tena nchi yetu imeangukia pua.
 
Back
Top Bottom