Swali halijibiki. Njoo utuuweCcm jibuni swali langu
Hata kuingia shule ya chekechea(zamani Vididu) mzazi alitakiwa kuomba kwa kujaza fomu yenye madodoso mpaka urefu wa mtotoAibu kweli yaani!
Kafanye mambo yako we bwege ya CCM waachie wenyewe.Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu.
Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema hicho sio kipengele muhimu?
SUALA la wadhamini ni muhimu sana mgombea wa CCM awe nao Ili siku aliingia madarakani akatenda kinyume na matakwa ya ilani tukamatenwalio MDHAMINI na kuwasweka ndani
Naomba historia iandikwe nyinyi mmebaka UTARATIBU wa chama chenu
Hoja imekushindaKafanye mambo yako we bwege ya CCM waachie wenyewe.
Hii kweli sio wewe tu mkuu unashangaa bali kila mtanzania anaejielewa anashangaa ,tz tumefika sehemu mtu yoyote kwa kivuli cha chama anaweza amuka na kwenda kuchukua form bila shida yani ,kwa ustawi wa nchi hii tiyari ni shida kubwaTanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu.