East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji.Alikuwa na mkalimani wa kireno aliyekuwa akitafsiri kireno kwenda kiswahili
Akiwa amevaa nguo za kaki za kijeshi na kofia ya kaki ya kijeshi na akiwa amesimama kijukwaa cha wazi juani alihutubia mfululizo kwa masaa saba bila kupumzika wala kuomba maji ya kunywa.
Mwanaume alikuwa na stamina ya kuhutubia.Nilimkubali kuwa kijeshi alikuwa fit.