Raisi samora machel alihutubia masaa saba wima juani iringa

hii nayo ni habari? ijazie basi maneno gani yalizungumzwa na sio kama ile hadithi ya jamaa aliendaaaaa akaendaaaa akaenda akaendaaaa.. yaani akaendaaaaa na hadithi imeisha.. unadhani watu waelewe kipi sasa.... ujazaji wa server huu.... weka wazi kama ni record ya Dunia au vipi tuelewe... Samora Alipokufa Nyerere alilia na Kutokwa Machozi ?

leo sintochoka kucheka!!!! hahahahahaha. ila nazani hijajua nia na lengo la mleta mada.
 
Sasa hivi hatuna muda wa kumsikiliza mtu amwage porojo masaa saba. Nonsense....... poor time management
 
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji.Alikuwa na mkalimani wa kireno aliyekuwa akitafsiri kireno kwenda kiswahili

Akiwa amevaa nguo za kaki za kijeshi na kofia ya kaki ya kijeshi na akiwa amesimama kijukwaa cha wazi juani alihutubia mfululizo kwa masaa saba bila kupumzika wala kuomba maji ya kunywa.

Mwanaume alikuwa na stamina ya kuhutubia.Nilimkubali kuwa kijeshi alikuwa fit.

jamaa kapost kitu kizur kwel mstar wake wa kwanza unajieleza vizur tuu kuwa ni hotuba yake ya kwanza kuisikiliza Tanzania ndefu iliyotolewa na samora kwa masaa 7.
 
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji.Alikuwa na mkalimani wa kireno aliyekuwa akitafsiri kireno kwenda kiswahili

Akiwa amevaa nguo za kaki za kijeshi na kofia ya kaki ya kijeshi na akiwa amesimama kijukwaa cha wazi juani alihutubia mfululizo kwa masaa saba bila kupumzika wala kuomba maji ya kunywa.

Mwanaume alikuwa na stamina ya kuhutubia.Nilimkubali kuwa kijeshi alikuwa fit.
alikuwa kiongozi shupavu
 
Kama hotuba ilichukua masaa saba basi gawa kwa mbili. samora alitumia saa 3:30. masaa mengine ya mkalimani.
 
Watu wengine bwana, haya wewe unaetuuliza kama nyere alilia au lah tuambie ni rekodi ya dunia au, Hata vitabu vya dini vinsema "asomaye na afahamu" Kuwa makini wakati wakuchangia hoja weweeee
 
Back
Top Bottom