East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji.Alikuwa na mkalimani wa kireno aliyekuwa akitafsiri kireno kwenda kiswahili
Akiwa amevaa nguo za kaki za kijeshi na kofia ya kaki ya kijeshi na akiwa amesimama kijukwaa cha wazi juani alihutubia mfululizo kwa masaa saba bila kupumzika wala kuomba maji ya kunywa.
Mwanaume alikuwa na stamina ya kuhutubia.Nilimkubali kuwa kijeshi alikuwa fit.

hii nayo ni habari? ijazie basi maneno gani yalizungumzwa na sio kama ile hadithi ya jamaa aliendaaaaa akaendaaaa akaenda akaendaaaa.. yaani akaendaaaaa na hadithi imeisha.. unadhani watu waelewe kipi sasa.... ujazaji wa server huu.... weka wazi kama ni record ya Dunia au vipi tuelewe... Samora Alipokufa Nyerere alilia na Kutokwa Machozi ?

kwan ww umeambiwa ni habari tu ndio zinakaa humu?kulia kwa nyerere kunahusiana nini na hotuba ya masaa saba?jamaa kasema mengne,ww unaleta mengne,anzsha uzi wako ukisema nyerere hakulia machoz alipokufa samora,
Andika yako na ujaze maneno yanayoelezea machozi ya Nyerere au record za dunia.. Muhimu kwako sio lazima kiwe muhimu kwa wengine.
Kwanza alilileta mkosi tu uwanja umepewa jina lake umekuwa mbaya uwanja ule ungekuwa na jina la jf kennedy ungejengwa safi
Sikieni nyie nilichosema habari yake haieleweki kama ni Samora kaweka Record au ipo sehemu inapopatikana hiyo Speech..! haijaeleweka... Mliataka niandike mimi vipi kwani! au nyie ndio nimewauliza?
Post inaeleweka ila we ndo huelewi hivyo andika wewe yako watu wachangie. Nani kakwambia post zote lazima ziwe ni "habari"? We ndio unachagua wa kujibu?
Masaa 7 mbona kawaida sana! Chaajab nn sasa hapo!?
Sikieni nyie nilichosema habari yake haieleweki kama ni Samora kaweka Record au ipo sehemu inapopatikana hiyo Speech..! haijaeleweka... Mliataka niandike mimi vipi kwani! au nyie ndio nimewauliza?
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na kufundisha wapigania uhuru wa Msumbiji.Alikuwa na mkalimani wa kireno aliyekuwa akitafsiri kireno kwenda kiswahili
Akiwa amevaa nguo za kaki za kijeshi na kofia ya kaki ya kijeshi na akiwa amesimama kijukwaa cha wazi juani alihutubia mfululizo kwa masaa saba bila kupumzika wala kuomba maji ya kunywa.
Mwanaume alikuwa na stamina ya kuhutubia.Nilimkubali kuwa kijeshi alikuwa fit.
Jamaa alikuwa mwanaume wa shoka hata kwenye mikutano yake kama utapata kuona picha zake the guy was ready at any time ..... ..... ..... what a leader sio hawa wezi wa kwetu wanaotuibia kila kukicha.