Raisi samora machel alihutubia masaa saba wima juani iringa


leo sintochoka kucheka!!!! hahahahahaha. ila nazani hijajua nia na lengo la mleta mada.
 
Sasa hivi hatuna muda wa kumsikiliza mtu amwage porojo masaa saba. Nonsense....... poor time management
 

jamaa kapost kitu kizur kwel mstar wake wa kwanza unajieleza vizur tuu kuwa ni hotuba yake ya kwanza kuisikiliza Tanzania ndefu iliyotolewa na samora kwa masaa 7.
 
alikuwa kiongozi shupavu
 

Kama hotuba ilichukua masaa saba basi gawa kwa mbili. samora alitumia saa 3:30. masaa mengine ya mkalimani.
 
Watu wengine bwana, haya wewe unaetuuliza kama nyere alilia au lah tuambie ni rekodi ya dunia au, Hata vitabu vya dini vinsema "asomaye na afahamu" Kuwa makini wakati wakuchangia hoja weweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…