Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

Raisi wa CAF Dkt. Motsepe ndiyo Rais pekee duniani ambaye hapokei mshahara mwisho wa mwezi

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara )

Anajilipia/kugharamia kuanzia:
a) Usafiri
b) Makazi
c) Malazi nk.

Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia.

Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi Lekja (Malejedi ) wenye nia na ndoto ya kugombania urais wa Caf 2025 watangoja Sana, kiufupi Dr. Patrice Motsepe hana mpinzani

MALENGO YAKE:

1. Afrika kukua na kufika mbali kwenye soka duniani

2. Vilabu vya Afrika kujitegemea kiuchumi kwenye mpira

3. Afrika nzima kuwepo na viwanja Bora na vya kisasa

4. Mashabiki kuenjoy mpira wa soka ili kukuza mapato kuanzia vilabu mpaka timu za taifa nk nk.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom