Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama.
Salamu hizo kwa dunia nzima kutoka kwa raisi huyo zimetolewa wakati ambapo vita hivyo vinakaribia kutiimima mwaka mmoja na huku vikiwa vimezalisha vita vyengine vikubwa kati ya Israel na Hizbullah pamoja na Houth wa Yemen