Raisi wa Kenya amtakia heri ya Christmas na Mwaka mpya mbunge aliyemtukana

" Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake."

Hayo ni maneno ya kuonyesha ukomavu wa kisiasa, nafikiri mzee Kenyatta alipatia kumpa jina la UHURU na kwa kweli amelitendea haki jina lake
 
Bora tuendelee na hali ya kupelekeshwa maana demokrasia ili kuwepo hamna jipya lililo tokea na bado lazima namba isomeke kwa lugha zote
 
Kitu POGBA [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alimtukana tusi gani/alimtukanaje?
Matusi ya Millie mazito kweli. Kenyatta ameonyesha uvumilivu wa hali ya juu. Compare and contrast leadership style ya Uhuru na Magu kuhusu kuheshimu freedom of expression pamoja na Millie kuvuka mipaka na kumtukana Uhuru hadharani.
 
Hapa kwetu mtu kaota tu ndoto ila mwezi wa pili huu yupo Gerezani.
Kweli kuna watu na viatu
 
I don't agree with what you say but I will defend to the death your right to say it. ... Voltaire.
 
Yuko poa sana ....vipi tz yetu? ?
 
Na Uhuru alivyoichukulia ile issue kishkaji itakuwa haina effect yoyote ndani ya miez kadhaa watu wameshaisahau
Ila visasi vya bwana mkubwa hadi anaingia kaburini watu hawatamsahau.
Na asiombe 2020 washindwe kuchakachua kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…