Hapa napata taabu....Bwana Yule ni yupi....Mkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa napata taabu....Bwana Yule ni yupi....Mkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Kuna nchi sheria zao zimewaruhusu kutukana viongozi wao, tumia akili kuwaza.hebu weka hayo matusi.... hata hivyo labda sheria zao zina ruhusu kuwatusi viongozi kwa hiyo ni uamuzi wake...
Wewe sio mwanahalali ndio maana unajikuta kisongo.Mimi Kisongo. ...
Alimwambia Kenyata ni fisi tu!Alimtukana tusi gani/alimtukanaje?
Bwana yule atakutenda aliyotendewa bwana mwingine yule wa AMkuu ngoja na mimi nitest kumtukana Bwana yule![emoji1]
Bora tuendelee na hali ya kupelekeshwa maana demokrasia ili kuwepo hamna jipya lililo tokea na bado lazima namba isomeke kwa lugha zoteKenyata amekomaa na ndiye baba wa demokrasia wa ukanda huu nafasi tuliyoishikilia kwa muda mrefu lakini tumeipoteza kuanzia 25 oct.2015 . kwa sababu hiyo kama ingetokea Tanzania huyo mh.mbunge tungemfunga katika gereza la Kitai la Mbinga na kazi ngumu kwa sababu huu ni msimu wa kulima mahindi.
Mfungwa hawezi kuishi kama yupo Shelaton hotel.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana yule atakutenda aliyotendewa bwana mwingine yule wa A
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa napata taabu....Bwana Yule ni yupi....
Matusi ya Millie mazito kweli. Kenyatta ameonyesha uvumilivu wa hali ya juu. Compare and contrast leadership style ya Uhuru na Magu kuhusu kuheshimu freedom of expression pamoja na Millie kuvuka mipaka na kumtukana Uhuru hadharani.Alimtukana tusi gani/alimtukanaje?
Yuko poa sana ....vipi tz yetu? ?" Raisi huyo alidai Ukiwa baba wa familia lazima ukomae Kichwa na uwe mvumilivu kwani kila mtoto ana Tabia yake."
Hayo ni maneno ya kuonyesha ukomavu wa kisiasa, nafikiri mzee Kenyatta alipatia kumpa jina la UHURU na kwa kweli amelitendea haki jina lake