Raisi wa kwanza wa Kenya ni nani?

Raisi wa kwanza wa Kenya ni nani?

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,276
Reaction score
684
Kwenye somo la Uraia mwalimu aliwafundisha watoto kuwa Raisi wa kwanza wa Kenya anaitwa Kenyata.

Kimbembe kwenye Mtihani, mwalimu kauliza na mtoto mmoja akjibu....

Raisi wa kwanza wa Uganda - Ugandata
Raisi wa kwanza wa Tanzania - Tanzaniata
Raisi wa kwanza wa Malawi - Malawita
Raisi wa Sudani - Sudanita
:smile-big:
 
usikute hata mahita alikuwa rais wa kwanza wa mahi.
 
Back
Top Bottom