King Innocent
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,046
- 715
Jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa unatuma sms za vitisho na kusema atakaje andamana kitakachompata asilaumu, bwana Fred naomba kukuambia majukumu yako si kutetea chama bali nikutetea maslahi ya waliokuchagua, acha siasa kwenye uhai wa watu.