Raisi wa serkali ya wanafunzi udom (federal) achakuwa kikwazo kwa wanao dai haki zao

Raisi wa serkali ya wanafunzi udom (federal) achakuwa kikwazo kwa wanao dai haki zao

King Innocent

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
1,046
Reaction score
715
Jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa unatuma sms za vitisho na kusema atakaje andamana kitakachompata asilaumu, bwana Fred naomba kukuambia majukumu yako si kutetea chama bali nikutetea maslahi ya waliokuchagua, acha siasa kwenye uhai wa watu.
 
Unajua sababu ya wananchi kuwaona wasomi hawana msaada hivyo wanapuuza ni kuwa na njaa za namna hii.
 
Unajua sababu ya wananchi kuwaona wasomi hawana msaada hivyo wanapuuza ni kuwa na njaa za namna hii.

Nakubaliana na wewe , wasomi wengi wamekuwa wabinafsi na wanaonunulika kirahisi ,wenyekujijali wenyewe na kuwadhihaki wenye njaa.
 
jana yalikuwa ya fanyike maandamano makubwa mkoa wa mwanza kushinikiza serkali iwalipe wanafunzi madai yao au kuharakisha asessment ili wanafunzi warudi makwao , lakini jambo lakushangaza umekuwa unatuma sms za vitisho na kusema atakaje andamana kitakachompata asilaumu, bwana fred naomba kukuambia majukumu yako si kutetea chama bali nikutetea maslahi ya waliokuchagua, acha siasa kwenye uhai wa watu.

hako kajamaa hakafai ndo maana nashangaa waliokapa kura ona ata kuwatetea wanafunzi wenzake kanashndwa! Wajifunze waliokapa kura wanateseka sasa,maana tulisema ni chaguo la utawala hawe kusimama kututetea, nampongeza kamanda mwakbinga ye
ye hana ata mkopm lakin anahangaika wana udom wapate pesa zao
 
Back
Top Bottom