Raisi wa Somalia amuangukia miguuni Raisi UHURU KENYATTA..

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219


Baada ya Jaribio la Kuiba Bahari ya JAMHURI ya KENYA na Kugonga Mwamba,sasa Rausi Huyo Ameiomba Jumuia ya IGAD imsuluhishe yeye na Raisi UHURU na Kwamba Amekoma na Harirudia tena katika Maisha yake.

Mkutano huo utafanyika Katika jiji la Kampala nchini Uganda
UHURU anauhusiano mkubwa na Nchi za Afrika ya Mashariki na Afrika Kwa ujumla.

Wasomali wanafikiri wanaweza kufanya Uharamia hata kwenye Mipaka halali ya Kenya.

Mungu Ibariki Jamhuri ya Kenya.
 

Akili Mukichwa hahahahahaha!!!!
 
Naona kama heading imeandikwa kishabiki zaidi...[emoji45] [emoji45]
Mbona sijaona hiyo picha ya Rais wa Somalia akisujudu kwa miguu ya Kenyata...!![emoji15] [emoji15]
 
Naona kama heading imeandikwa kishabiki zaidi...[emoji45] [emoji45]
Mbona sijaona hiyo picha ya Rais wa Somalia akisujudu kwa miguu ya Kenyata...!![emoji15] [emoji15]
Ushi na wewe unakuwa kama Mkimbiji bhana
Waaomali walianza Ooh!! Mother of all Wars 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Huyo Rais wa Mogadishu amewekeza mabilioni ya Fedha za Misaada ya Njaa ambazo zilikuwa zimelengwa kwenda kwa watu Maskini lakini wamewekeza NAIROBI sasa aliambiwa Hizo Pesa na Miradi itawekwa chini ya ulinzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You need to support your talking with proves and evidences. The meeting was indoor and nobody knows what they talked about, how comes you are feeding us with unconfirmed information here?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…