imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Baada ya Jaribio la Kuiba Bahari ya JAMHURI ya KENYA na Kugonga Mwamba,sasa Rausi Huyo Ameiomba Jumuia ya IGAD imsuluhishe yeye na Raisi UHURU na Kwamba Amekoma na Harirudia tena katika Maisha yake.
Mkutano huo utafanyika Katika jiji la Kampala nchini Uganda
UHURU anauhusiano mkubwa na Nchi za Afrika ya Mashariki na Afrika Kwa ujumla.
Wasomali wanafikiri wanaweza kufanya Uharamia hata kwenye Mipaka halali ya Kenya.
Mungu Ibariki Jamhuri ya Kenya.