Raisi wa UDOM katika kitivo cha elimu apinduliwa rasmi leo

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu Dodoma ndugu John Francisco ambaye pia ni rais wa Tahliso apinduliwa rasmi leo kwa kushindwa kuwatetea wanafunzi anowangoza na mapinduzi hayo yamefanywa na wanafunzi na kumpa cheo hicho mh Mpandulume ambae kawatetea wanafunzi madai yao ya msingi mbele ya utawala mbovu wa UDOM.

UDOM YAGEUKA BURUNDI

Wanafunzi wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu cha Dodoma wamefanya mapinduzi ya kumpindua rais wa kitivo hicho ndugu John Fransisco Nzilanyingi kwa kile walichokiita kushindwa kutimiza matakwa yao na hivyo kuunda serikali ya mpito itakayoongozwa na ndugu Simon J. Mpandalume aliyekuwa Waziri wa Mikopo katika kitivo hicho (ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya uraisi).

Viongozi wengine wanaunda serikali hiyo ya mpito ni ndugu Josias Charles, aliyekuwa Naibu waziri wa Katiba na Sheria ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya Makamu wa Rais, ndugu Boaz aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Usafirishaji anayeshikilia nafasi ya Waziri Mkuu pamoja na Bi. Lidya Martin aliyekuwa Naibu Waziri wa mikopo ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya Katibu Mkuu wa serikali hiyo ya Mpito. Viongozi hao waliapishwa leo hii mida ya saa tano asubuhi na aliyekuwa naibu spika wa serikali iliyopinduliwa aliyejulikana kwa jina moja la ndugu Shee. Kuapishwa kwa viongozi hao wa serikali ya mpito kunazingatia tamko la katiba ya serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu hicho (UDOSO STUDENTS' BYLAWS) inayotamka kwama serilali itaingia madarakani kwa nguvu ya wananchi na itatoka madarakani kwa nguvu ya wananchi. Taarifa za kutoka chuoni hapo zinaeleza kuwa rais huyo mpya wa serikali ya mpito atateua baraza jipya la mawaziri mapema hapo kesho.

Ikumbukwe kuwa mapinduzi haya yanafanyika zikiwa zimebakia siku tatu tu kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali mpya ya wanafunzi chuoni hapo unaotarajiwa kufanyika tarehe 1 na 2 mwezi ujao.

Wakiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali vya habari nchini wanafunzi hao waliokuwa wamekusanyika katika viwanja vya Maktaba ya Kitivo cha elimu wamedai kuwa mapinduzi haya yawe funzo kwa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania nzima na jamii nzima kwa ujumla kuwa viongozi wanachaguliwa ili kutetea maslahi ya umma na siyo kutumia ofisi hizo kama sehemu ya kujinufaisha wao huku wakishindwa kutekeleza yale ambayo wananchi wamewatuma wakayasimamie.

Akiongea kwa niaba ya wanafunzi wenzake, makamu wa rais wa serikali hiyo ya mpito ndugu Josias Charles amesema kuwa, "umoja tuliouonesha wanaudom leo uwe fundisho kwa serikali na mamlaka zote kwa Tanzania na dunia kwa ujumla kuwa serikali zinaundwa kwa lengo la kutetea na kulinda maslahi ya umma na si vinginevyo hivyo basi endapo serikali yoyote ile itashindwa kuwajibika kwa wananchi wake ipasavyo basi haina budi kuwajibishwa na wananchi ambao kisheria ndiyo walioiweka madarakani kama ambavyo leo hii tumeamua kufanya sisi wana udom".

"Hakuna nguvu yoyote ile duniani inayoweza kushinda nguvu ya wananchi walio wengi na hivyo nitoe wito kwa serikali zote zijazo kwa hapa udom, vyuo vingine na Taifa kwa ujumla zihakikishe kuwa zinaheshimu na kutii mamlaka ziliyopewa na wananchi " aliongeza Charles.

Naye rais mpya wa serikali hiyo ya mpito ndugu Simon J.Mpandalume amesema kwamba, ifikie hatua wasomi wa vyuo vikuu tuwe chachu ya vuguvugu la mabadiliko na siyo kuishia tu kukariri yale tunayofundishwa madarasani. " Wasomi wengi wa Tanzania tumeishia kuburuzwa tu kienyeji enyeji pasipo ya kuchukua hatua madhubuti kusolve matatizo yanayotukabili. Ifikie hatua chuo kikuu iwe sehemu yanapoanzia mabadiliko kama alivyowahi kusema mwasisi wa Taifa letu Hayati Mwl. J. K. Nyerere enzi za uhai wake. Kama leo hii wasomi wa vyuo vikuu tutashindwa kusimama na kukemea maovu yanayofanywa na serikali za wanafunzi wa vyuo ikiwemo ubadhilifu wa fedha za umma pamoja na mfumo mbovu wa menejimenti za vyuo tutawaambia nini watanzania kule tuendako baada ya kuhitimu mafunzo yetu"? alitanabahisha Mpandalume. Nipende tu kuwaambia wanafunzi wenzangu kuwa tumechoka kuburuzwa na mamlaka kandamizi ambazo kwa muda mrefu tulinyimwa fursa ya kueleza na kutatuliwa changamoto zetu, kibaya zaidi mifumo mibovu inayoendelea kulitafuna taifa letu ndyo hii tunayoitengeneza leo ya akina John Fransisco. Mwisho nipende kuwaambia kuwa nimeupokea wito wenu na kukubali kuongoza serikali hii ya mpito hadi hapo uchaguzi mpya utakapofanyika kwa mujibu wa katiba ya serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Hii ni heshima kubwa kwa chuo chetu na ni tukio la kihistoria katika chuo chetu na taifa kwa ujumla hivyo naomba umma utambue kuwa hii ndiyo UDOM mpya yenye vijana wanaopambana kuhakikisha kuwa wanaondoa kila aina ya ukandamizaji, uonevu na unyonyaji si tu kwa hapa udom lakini pia kwa jamii na taifa kwa ujumla"alimaliza rais huyo wa serikali ya mpito.

Bw.John Fransisco anapinduliwa kwa kushindwa kufuatilia masuala muhimu ya wanafunzi chuoni hapo ikiwemo kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi, suala la bima za afya pamoja na suala la accommodation pamoja na changamoto mbali mbali zinazowakumba wanafunzi hao ikiwemo suala la usafi wa hosteli pamoja na tatizo la usafiri chuoni hapo

Licha ya mambo yaliyoorodheshwa hapo juu raisi huyo pia anashutumiwa kwa kufanya ubadhilifu wa fedha za serikali ya wanafunzi (UDOSO).

Mapinduzi haya yanatokea wiki moja tu baada ya wanafunzi hao kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali iwapatie fedha zao za chakula na malazi pamoja na utatuzi wa changamoto zilizotajwa hapo juu. Maandamano hayo yalifanyika tarehe 21 na 22 mwezi huu ambapo licha ya kutawanywa na polisi kwa kutumia mabomu ya machozi walifanikiwa kupata pesa hizo mnano tarehe 25 mwezi huu huku changamoto zingine zikiendelea kutafutiwa ufumbuzi na mamlaka zinazohusika ikiwemo menejimenti ya chuo.

Katika kipindi chote hicho cha kufuatilia madai yao ndugu John Fransisco Nzilanyingi ambaye ndiye msemaji mkuu akiwa kama rais wa kitivo cha elimu chuoni hapo na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISHO) ameonekana kuwa kimya pasipo kutoa tamko lolote jambo ambalo ndilo lililopelekea kutokea kwa mapinduzi hayo baada ya wanafunzi hao kuona kwamba hakuna sababu ya kuendelea kuwa na rais jina na hivyo kuamua kumpindua na kuwapa madaraka wapambanaji wao waliokuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa matatizo yao yanatatuliwa.

Wapambanaji hao kwa sasa ndiyo wanaounda serikali ya mpito ya kitivo cha elimu katika chuo hicho. Nao ni Simon J. Mpandalume (Rais), Josias Charles (Makamu wa Rais), Boaz (Waziri Mkuu) na Lidya Martin (Katibu mkuu). Rais huyo mpya anatarajiwa kutangaza baraza jipya la serikali ya mpito litakaloshika hatamu kwa kipindi kifupi kilichobakia kabla ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumatatu na Jumanne wiki ijayo.

Mapinduzi haya yameidhinishwa na wanafunzi wote wa kitivo cha elimu chuo kikuu cha Dodoma kinapojumuisha wanafunzi wanaochukua shahada ya ualimu pamoja na wale wanafunzi wa stashahada maalumu ya elimu kwa sayansi na hisabati ambao kwa pamoja walisaini petitions za " Vote of No Confidence".
 
Afu anongea utumbo tu kwnye magruop Wasap hyo john! km atakuja kwenu kuomba uongoz na mkampa mmekwisha!
 
Kwa jinsi ulivyo ilemba, utazan assignment
 
UDOM YAGEUKA BURUNDI

Wanafunzi wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu cha Dodoma wamefanya mapinduzi ya kumpindua riais wa kitivo hicho ndugu John Fransisco Nzilanyingi kwa kile walichokiita kushindwa kutimiza matakwa yao na hivyo kuunda serikali ya mpito itakayoongozwa na ndugu Simon J. Mpandalume aliyekuwa Waziri wa Mikopo katika kitivo hicho (ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya uraisi).

Badala ya kusoma mnakalia mambo ya sio sio na tija kwenye taharumazenu, someni madogo hivyo vyeo havina maana mkitoka nje ya mipaka ya udom, n'gon'gona.
 
hivi mbafahamu hivyo vyeo hapo chuo ni kama umonitor ndo maana udom inadharaulika hamsomi mda wote ni vitimbi hzo course mnamalizaga kweli?
 
Akae pembeni, maana hakuna namna. Wezi hawana nafasi katika jamii.
Mpandalume ndio Raisi wetu UDOM Coed.
 
Mr Juan ;
Fikiri mbele zaidi. Hivi kama mtu kashindwa kazi tumwangalie kwa kuwa tumekuja kusoma?
Maana ya elimu yetu iko wapi kama hatuhoji mambo yasiyosawa?
Tambua kuwa thamani ya elimu cio cheti tu, ni namna msomi anavoweza kuwajibika na kuisaidia jamii, nako kunaanzia vyuoni.
 
hivi mbafahamu hivyo vyeo hapo chuo ni kama umonitor ndo maana udom inadharaulika hamsomi mda wote ni vitimbi hzo course mnamalizaga kweli?
Nyie ndiyo mafisadi msiotaka mafisadi wenzenu waumbuliwe. Tutawakomesha tu japo unajifanya kuwakatisha tamaa watetea haki za binadamu. Kwa akili yako unadhani wanafunzi hawawezi kufanya revolution? Kichwani mwako hauna reference ya nchi hata moja iliyofanya hivo? Unadhani kwenye jamii hayapo? Wanafunzi elimu wanayoipata wanaenda kuitumia wapi? THINK GLOBALLY AND NOT LOCALLY
 
Kwa kweli kale kajamaa (john) ni kapuuzi sana; kalikuwa pale kutetea tumbo la kenyewe na chama cha kijani sijui kana position gani katika chama hicho chakavu?
Ni jambo jema kuona kakienguliwa katika nafasai ya urais
 
Back
Top Bottom