Raisi wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kwanini anaishi Maisha ya Hali ya chini, alijibu Kiongozi anatakiwa kuishi Maisha ya watu wake

Raisi wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kwanini anaishi Maisha ya Hali ya chini, alijibu Kiongozi anatakiwa kuishi Maisha ya watu wake

Ila hii tabia mbaya kabisa, tabia ya kuukumbatia umaskini kama ufahari, umaskini sio sifa hata kidogo, kujitia kuishi kiumaskini ni ujinga
Sio kuumkumbatia umasikini, Bali kuogopa ulimbukeni unaoanzia kwa Baba au Mama na kushuka Kwa watoto. Kwanza unatakiwa kuelewa kwamba nia na madhumuni ya kujielimisha ni kujitoa katika Maisha ya ufukara na kutumia ujuzi au Elimu hiyo kuboresha Maisha yetu na njia za uzalishaji. Ili kuongeza tija.
 
Ila hii tabia mbaya kabisa, tabia ya kuukumbatia umaskini kama ufahari, umaskini sio sifa hata kidogo, kujitia kuishi kiumaskini ni ujinga
Unajua hata maana ya umasikini ? Huyo Mwana unamuita Masikini ? Wewe ukiwa na viwili unazungwa na watu wenye nusu wewe ni masikini ? Au ukiwa na kimoja na unazungukwa na watu ambao hawana ndio utajiri ?

Na wewe kama muwezeshaji unatakiwa ufanye nini ukusanye vyote viwe vyako au ujitahidi na wasionacho nao wapate ?
 
Jamaa alikuwa lecturer alipomaliza akarudia kazi yake na anapanda usafiri wa umma anasimama hakuna anayempisha seat kwa sababu wamezoea si huku eti kiongozi akipanda bajaj au bodaboa au usafiri wa umma anajirekodi ili aposti aonekane mzalendo kwa sababu wanaona ni ajabu kuwa kama wale wanaowaongoza.
Tafuta na habari za Rais Mujica.
 
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president.

The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the university, receiving $250 a month, and lives modestly in his house. When he stays at a hotel, he asks for a simpler room, maybe even without a bed, because he likes to sleep on the floor on one mattress under a blanket, he gets around by bus, the President of Iran sold his maintained Peugeot.

To questions about why he, being president for two terms, could have seriously improved his financial situation, but did not, Ahmadinejad answers that a real leader must live the way his people live. 🇮🇷
alikua mkorofi na mjeuri asie na maono 🐒
 
Jamaa alikuwa lecturer alipomaliza akarudia kazi yake na anapanda usafiri wa umma anasimama hakuna anayempisha seat kwa sababu wamezoea si huku eti kiongozi akipanda bajaj au bodaboa au usafiri wa umma anajirekodi ili aposti aonekane mzalendo kwa sababu wanaona ni ajabu kuwa kama wale wanaowaongoza.
Hizo ni story tu
 
Mimi nafikiri tuchukue katiba ya Iran katika kupata wabunge ili tuondokane na malimbukeni na chawa. Watu waone ufahari kwa kutenda mema kwa nchi yao sio familia yao, Kwani tukiwa na misingi mizuri, hawa watoto na wajukuu wataweza kuishi kwa adabu.
Tatizo siyo katiba, ni watu (wananchi na viongozi).
Kiongozi hajielewi anavunja katiba apendavyo, wananchi wenye maslahi binafsi na wengi wasiojielewa wanashangilia kizuzuzuzu.
 
Hizo ni story tu
Huamini kwa sababu umezoea viongozi wetu hawafanyi hivi. Huo ndio ukweli jamaa anaishi life lake kama kawaida. Mbona Bi Angela Markel tangu akiwa Councellor wa Germany hata supermarket alikuwa anaenda mwenyewe anabeba kitenga chake mwenyewe na kufanya manunuzi yake mwenyewe na anaishi kwa mshahara wake? Tazama maisha ya viongozi wa nchi za Scandinavia ni ya kawaida.
 
Sisi hatuna viongozi tuna watawala wanaounda utawala wa kifamilia wakishirikiana na viongozi wa dini kutimiza malengo yao.
 
Si ndio maana huwa wanaleta maendeleo kwenye nchi zao.
Watu weupe wengi sio wabinafsi kwa nchi zao labda kidogo watu wabinafsi ni wamarekani wale wanatukuza pesa japo sio wote
 
Kwa hivyo gari binafsi ndo anunuliwe na wananchi? KAZI kukamuana Tu.
Alipigwa risasi kwajili yetu na alichokipigania mahakama za kimataifa chini ya shahidi muhimu ,profesa mruma na ossoro , wananchi tunakamuliwa kilekile lisu alikisema akamiminiwa risasi kinatokea
 
Back
Top Bottom