mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Ni upumbavu tu wa baadhi ya watanzania wasio na kazi za kufanya. Yaani unahangaika kufungua account mpy kwa jambo la siku chache?Yani kaenda kuanzisha Id mpya ili awe mwarabu....aiseee Tanzania tuna safari ndefu...kwanza huu uchawi wa chuki baina ya Timu hizi mbili hiyo ya Taifa tusahau kuja kufanya vzr..
Yani naamini kabisa kwamba mashabiki wa Yanga wengi ni wajinga/hawana akili....Ni upumbavu tu wa baadhi ya watanzania wasio na kazi za kufanya. Yaani unahangaika kufungua account mpy kwa jambo la siku chache?
Very stupid indeed!
[emoji22]Yani naamini kabisa kwamba mashabiki wa Yanga wengi ni wajinga/hawana akili....
Huu ni upuuzi wa hali juu
Sio wewe bana umeona hapo nimesema wengi sio wote..[emoji22]
Eti nini? Tutawapiga kama [emoji1623][emoji1623]Simba anachukua point 4 kwa Raja
Tulia wew sisi ndio Raja kiboko ya wacheza singeli. Tumekuja kwenye hii ardhi ya [emoji1241] kuwapiga km[emoji1623][emoji1623]Yani kaenda kuanzisha Id mpya ili awe mwarabu....aiseee Tanzania tuna safari ndefu...kwanza huu uchawi wa chuki baina ya Timu hizi mbili hiyo ya Taifa tusahau kuja kufanya vzr..