mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka Morocco.
Ikumbukwe hapo jumamosi tuna jambo letu hapo nchini Tanzania [emoji1241].
Kile kipigo tulichotoa kwa wale waganda ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kwa hawa wabana pua wa [emoji1241]. Tutawakun'guta vilivyo kama tulivyowafanya kaka zao Mwaka 1998.
Jeshi Zima la wapambanaji tayari limeshatua kwenye ardhi ya nchi [emoji1241] tayari kutoa darasa kwa hawa wacheza singeli wa bongo.