mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #21
Wewe mwenye kazi umefata nini hapa? Heading inajieleza huu Uzi ni special Kwa Raja fans. IdiotNi upumbavu tu wa baadhi ya watanzania wasio na kazi za kufanya. Yaani unahangaika kufungua account mpy kwa jambo la siku chache?
Very stupid indeed!
Hao Yanga nao tulishawabamiza 6-1, Sasa ni zamu yenu. Mtalia na kusaga meno mbwa nyieYani naamini kabisa kwamba mashabiki wa Yanga wengi ni wajinga/hawana akili....
Huu ni upuuzi wa hali juu
Mwanga wa West Africa...
Mkuu vipi akaunt yako imehackiwa?Kila la heri kwa simba, ka la heri kwa Yanga. Uzalendo kwanza. Utani wa jadi baadaye.
Hapana mkuu. Ni uzalendo wangu tu.Mkuu vipi akaunt yako imehackiwa?
Subilia kejeli zaoHapana mkuu. Ni uzalendo wangu tu.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂uzi umejaa mapovu
All the best Raja
Hatutawaangusha mkuu. Pakiti lazima iishie kwao[emoji1][emoji1]All the best Raja [emoji1659][emoji1659]
Tutashukuru sana mtatupunguzia noise pollutionHatutawaangusha mkuu. Pakiti lazima iishie kwao[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uliyojitetea fasta sasaSio wewe bana umeona hapo nimesema wengi sio wote..
Hata jumapili piaKuna aibu nzito inaenda kutokea hapo jumamosi.
SAWA MWANAMKE ENDELEA KULETA TAARIFA ZA WANAUME.wanaume wanapasha misuli tayari na mchezo wa keshoView attachment 2520260View attachment 2520262View attachment 2520263