Raja Casablanca fans tukutane hapa

Raja Casablanca fans tukutane hapa

Ni upumbavu tu wa baadhi ya watanzania wasio na kazi za kufanya. Yaani unahangaika kufungua account mpy kwa jambo la siku chache?

Very stupid indeed!
Wewe mwenye kazi umefata nini hapa? Heading inajieleza huu Uzi ni special Kwa Raja fans. Idiot
 
Yani naamini kabisa kwamba mashabiki wa Yanga wengi ni wajinga/hawana akili....
Huu ni upuuzi wa hali juu
Hao Yanga nao tulishawabamiza 6-1, Sasa ni zamu yenu. Mtalia na kusaga meno mbwa nyie
 
wanaume wanapasha misuli tayari na mchezo wa kesho
Screenshot_20230217-114942.jpg
Screenshot_20230217-115034.jpg
Screenshot_20230217-114950.jpg
 
Nawakumbusha tu huyo ndiyo beki Bora wa week cafcl [emoji2923][emoji375] [emoji91][emoji91]
Hawa kina boco na Kibu D nawaonea huruma sana[emoji23]
Screenshot_20230217-114745.jpg
Screenshot_20230217-114702.jpg
 
Back
Top Bottom