ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kalpana, kutokushangilia Simba au Yanga haimaanishi kuwa ni ukosefu wa uzalendo.
Labda kama wewe ni mshabiki wa timu mojawapo, lakini kama sivyo, basi utakubaliana na mimi kuwa timu hizi hazina lolote ila ni mpira wa mdomoni tu ndio umetawala. Huo ni ukweli na wala sio chuki.
Timu hizi zinapaswa kuwa halisi na kuepuka siasa siasa... La sivyo miaka nenda miaka rudi, mwendo utakuwa ni kusindikiza wenzetu tu!
Kwa mara nyingine tena Leo tunamfunza adabu huyu mtoto mjinga mweny kiburiKaribuni tena ndugu zetu kila mwaka muwe mnakuja kutunyooshea huyu mtoto mtukukutu [emoji1666] Raja Casablanca #Nguvu moja
Hii comment ndo nilikua naitafuta [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzi umejaa mapovu
All the best Raja
[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]Horoya fan upo wp?
Mkuu huyu member ameteseka sana, Leo atafarijikaHoroya fan upo wp?
anza tu kuvua nguoTusipowapa hawa kipigo kama cha Vipers niliwe tigo
Kwaio mkuu 3-0 + 3-1= 6-1. Izo si zinazidi tulizompiga vipers?anza tu kuvua nguo