Raja Casablanca fans tukutane hapa

Raja Casablanca fans tukutane hapa

Karibuni tena ndugu zetu kila mwaka muwe mnakuja kutunyooshea huyu mtoto mtukukutu [emoji1666] Raja Casablanca #Nguvu moja
 
King[emoji146] of Serengeti mmetisha sana[emoji119][emoji119]
Yaani Leo ni siku ya nne ila watu bado wamejifungia ndani wanaugulia maumivu
 
Kalpana, kutokushangilia Simba au Yanga haimaanishi kuwa ni ukosefu wa uzalendo.

Labda kama wewe ni mshabiki wa timu mojawapo, lakini kama sivyo, basi utakubaliana na mimi kuwa timu hizi hazina lolote ila ni mpira wa mdomoni tu ndio umetawala. Huo ni ukweli na wala sio chuki.

Timu hizi zinapaswa kuwa halisi na kuepuka siasa siasa... La sivyo miaka nenda miaka rudi, mwendo utakuwa ni kusindikiza wenzetu tu!

Usipate shida bro…!!! Acha kila mtu aumie na timu yake. Asikulazimishe mtu uwe timu yke au uwe mzalendo. Kuwa au kutokuwa mzalendo ni maamuzi ya mtu. Na kuwa mzalendo kwa sababu ya mpira tu, huo sio uzalendo wa kweli…!!!
 
CB3F3FBE-F546-4E27-B2F7-5C40135D18CD.jpeg
 
Hata nikipewa trilioni mia moja siingii hapa!!!
 
Back
Top Bottom