Mbona hata Ihefu alimfunga yanga,je ihefu ni timu bora ,
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Raja amefungwa na FUS Rabat. Timu iliyopo shirikisho la CAF ni AS FAR. Hizi ni timu mbili tofauti.Humu nakumbuka kuna watu walizibeza timu zilizopo kombe zilizopo shirikisho kuwa ni timu zisizo na ubora wala uwezo kisa tu zipo kombe la shirikisho. Habari ziwafikie kuwa ile timu ambayo kwasasa inaimbwa kuwa ni moja ya timu bora sana katika klabu bingwa, wana sifiwa kwavile katandika wote waliokuwa kwenye kundi la Simba kawapiga vipigo vya mbwa mwizi. Wamesifika kwa kucheza mpira wa kasi na washambuliaji hatari mno wanaoweza kufumania nyavu. Lakini usiku wa leo wameoga magoli matatu kwa sifuri dhidi ya timu inayoshiriki kombe la CAF confederation cup sio wengine ni Far Rabat.
Far Rabat ni timu inayoshiriki CAF confederation cup lakini kule Morocco, Wydad na Raja wamepelrkewa moto haswa na wote wawili mtu na mdogo wake hakuna asiyepigwa goli hizo tatu na Rabat, Wydad ndiye aliyekuwa wa kwanza kulambishwa goli tatu na usiku wa kuamkia leo mwenzie Raja Casablanca akafuatia kulambishwa goli tatu.
Zaidi soma uzi wao wa kupeana imani dhidi ya timu zilizopo shirikisho hapa:
Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa
Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.www.jamiiforums.com
SYLVAN , DullyJr , Mawawa , OKW BOBAN SUNZU , John Saleko na wana Simba wengine. Yule aliyewanyanyasa kakutana na wanaojua mpira zaidi yao. View attachment 2582019
Angalia msimamo wa ligi kisha fananisha na ulichoandika kama kinamaana.Mbona hata Ihefu alimfunga yanga,je ihefu ni timu bora ,
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Umeenda Morocco mbali mbona mfano tunao hapa kwetu TanganyikaHumu nakumbuka kuna watu waliona timu zilizopo klabu bingwa timu bora haswa, Habari ziwafikie kuwa ile timu ambayo kwasasa inaimbwa kuwa ni moja ya timu bora sana katika klabu bingwa, wana sifiwa kwavile katandika wote waliokuwa kwenye kundi la Simba kawapiga vipigo vya mbwa mwizi. Wamesifika kwa kucheza mpira wa kasi na washambuliaji hatari mno wanaoweza kufumania nyavu lakini jana kala chuma tatu dhidi ya Rabat
SYLVAN , DullyJr , Mawawa , OKW BOBAN SUNZU , John Saleko na wana Simba wengine. Yule aliyewanyanyasa kakutana na wanaojua mpira zaidi yao. View attachment 2582019
Point yangu ni kuwa kule kwao ni wa kawaida tu, na anapambana kuitafuta top four huko kwao. Lakini kutwa kuisifia kisa tu kawapiga nje ndani. Lakini Far Rabat anayeongoza ligi ya Morocco mnaidharau kisa tu inashiriki shirikishoRaja amefungwa na FUS Rabat. Timu iliyopo shirikisho la CAF ni AS FAR. Hizi ni timu mbili tofauti.
Pia hakuna timu isiyofungika. Ni kwamba Yanga mmejiwekea kasumba ya kishamba ambayo inawasumbua sana.
Sasa tatizo liko wapi?Angalia msimamo wa ligi kisha fananisha na ulichoandika kama kinamaana. View attachment 2582039
Hapana, hoja yako imepotea maana msingi wa hoja yako ulikuwa timu iliyoko CC imeifunga timu iliyoko CL wakati si kweli, umechanganya timu halafu unagwaya kama vile ni jambo lisilo na maana. Tuanzie hapo kwanza.Point yangu ni kuwa kule kwao ni wa kawaida tu, na anapambana kuitafuta top four huko kwao. Lakini kutwa kuisifia kisa tu kawapiga nje ndani. Lakini Far Rabat anayeongoza ligi ya Morocco mnaidharau kisa tu inashiriki shirikisho
Hatuidharau ila ni timu ndogo,tuipe mudaPoint yangu ni kuwa kule kwao ni wa kawaida tu, na anapambana kuitafuta top four huko kwao. Lakini kutwa kuisifia kisa tu kawapiga nje ndani. Lakini Far Rabat anayeongoza ligi ya Morocco mnaidharau kisa tu inashiriki shirikisho
Hapana, hoja ya point yako imepotea maana msingi wa hoja yako ulikuwa timu iliyoko CC imeifunga timu iliyoko CL wakati si kweli, umechanganya timu halafu unagwaya kama vile ni jambo lisilo na maana. Tuanzie hapo kwanza.
Pia hii ni hoja hafifu kufanya milinganisho ya namna hii kwamba huyu kumfunga huyu inamfanya huyu kuwa bora au dhaifu, tunasema hapa kula siku.
Kuhusu Raja, unasema kuna watu wanaowasifia kila siku, ni kina nani hao? Siyo nyie ambao mlikuwa hamuipi nafasi Simba kumfunga Raja kama ambavyo hamuipi nafasi sasa hivi kumfunga Wydad?
Naweza kufukunyua nikakuonyesha niliwahi kusema Raja anafungika na nyie mkawa mnakebehi, leo mnasemaje?
AahaahaKwenye Mechi za caf super cup Mara kadhaa bingwa wa caf confederation amemfunga bingwa wa caf champions league .
Huyo anaebeza kombe la caf confederation ameanza kujua Mpira Jana
Mfano mungine bingwa wa Tz anacheza caf confederation cup
Point taken1) Hoja ya timu ya CC kuifunga timu ya CL kwani halipo au haliwezekani? Kama halipo basi nikupe mifano halisi.
2)Sijafanya mlinganisho bali nimesema Raja kafungwa goli tatu, point yangu ya ubora upo kwa anayeongoza ligi ambaye nyie mnaidharau kisa tu yupo shirikisho lakini kwenye ligi hiyo timu ambayo mnaiona ni bora anaitafuta top four.
3) kuhusu kusifia, nyie ndio mliokuwa mnasifia kana kwamba timu zilizopo klabu bingwa zinatoka sayari tofauti na timu zingine. Kuna nyuzi nyingi tu humu za kuzikuza timu za klabu bingwa. Lakini mara kadhaa tunawaelekeza kuwa Wydad kachukua kombe la klabu bingwa lakini kaja kufungwa kwenye CAF super cup dhidi ya Berkane.
Bingwa wa Ligi Yanga yupo Shirikisho,ila Kila siku anamshushia vipigo Simba ambaye anacheza Klabu Bingwa AfrikaUmeenda Morocco mbali mbona mfano tunao hapa kwetu Tanganyika
Kwanza fanya marekebisho kwenye uzi wako maana umepotosha umma wa wasomaji halafu ndiyo urudi tuendelee na mazungumzo.1) Hoja ya timu ya CC kuifunga timu ya CL kwani halipo au haliwezekani? Kama halipo basi nikupe mifano halisi.
2)Sijafanya mlinganisho bali nimesema Raja kafungwa goli tatu, point yangu ya ubora upo kwa anayeongoza ligi ambaye nyie mnaidharau kisa tu yupo shirikisho lakini kwenye ligi hiyo timu ambayo mnaiona ni bora anaitafuta top four.
3) kuhusu kusifia, nyie ndio mliokuwa mnasifia kana kwamba timu zilizopo klabu bingwa zinatoka sayari tofauti na timu zingine. Kuna nyuzi nyingi tu humu za kuzikuza timu za klabu bingwa. Lakini mara kadhaa tunawaelekeza kuwa Wydad kachukua kombe la klabu bingwa lakini kaja kufungwa kwenye CAF super cup dhidi ya Berkane.