changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Humu nakumbuka kuna watu waliona timu zilizopo klabu bingwa timu bora haswa, Habari ziwafikie kuwa ile timu ambayo kwasasa inaimbwa kuwa ni moja ya timu bora sana katika klabu bingwa, wana sifiwa kwavile katandika wote waliokuwa kwenye kundi la Simba kawapiga vipigo vya mbwa mwizi.
Wamesifika kwa kucheza mpira wa kasi na washambuliaji hatari mno wanaoweza kufumania nyavu lakini jana kala chuma tatu dhidi ya Rabat
SYLVAN , DullyJr , Mawawa , OKW BOBAN SUNZU , John Saleko na wana Simba wengine. Yule aliyewanyanyasa kakutana na wanaojua mpira zaidi yao.