Sasa tatizo liko wapi?
Mambo hayo kwenye soka huwa yapo
Mfano.
Yanga anaongoza ligi hapa tanzania,na yupo zake huko shirikisho kwakua ni timu inayochipukia kama hao rabat,bado hawajakomaa lakini haimanishi ni wakali kuliko waydad na raja.(hawa africa nzima inawajua )
Kama ilivyo kwa Simba,Simba sio bingwa tz,na haongozi ligi.
Lakini ndio timu GIANT AFRICA,kama kina WAYDA$RAJA,masikioni mwa wafrica wapenda soka wanajulikana,mfano mtu yupo south africa ukamaambia akutajie timu moja tz na moja moroco
Moroco atataja waydad au Raja
Tanzania atataja Simba hao rabat na Yanga ni timu zinazochipukia,tuendelee kuzipigania na uwekezaji mzuri ili zikue.
Sent from my CPH2121 using
JamiiForums mobile app