Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Raja imepigwa ban kusajili hadi itakapowalipa ile timu ya Pape Sakho iliyoshinda kesi dhidi ya timu moja ambayo imeshusha kiingilio hadi 3000 baada ya kuona washabiki hawanunui tiketi na uwanja hata mashabiki efu 5000 hawatafika jmoc.
Raja ilimsajili winga Djibril Sylla kutoka ile timu ya Pape Sakho iitwayo Teungueth FC ya Senegal na ilipomuuza Azam haijapeleka maokoto kule Senegal, na wao pamoja na unprofessional wao yamewakuta.
Raja ilimsajili winga Djibril Sylla kutoka ile timu ya Pape Sakho iitwayo Teungueth FC ya Senegal na ilipomuuza Azam haijapeleka maokoto kule Senegal, na wao pamoja na unprofessional wao yamewakuta.