Raja Casablanca wakejeli graphics za Simba

Raja Casablanca wakejeli graphics za Simba

Nishakuonyesha hio ni code fungua wewe
Hahah. Wewe itakuwa graphics designer wa Simba unataka watu wapotezee. Mimi Simba ila nimependa huu utani. Yanga wanasubiri kumwagia watu maji ya maiti.
 
Hahah. Wewe itakuwa graphics designer wa Simba unataka watu wapotezee. Mimi Simba ila nimependa huu utani. Yanga wanasubiri kumwagia watu maji ya maiti.
Pay = lipa (lipiza | lipia)
Play low = cheza chini ya kiwango
Lost forever (forever lost) = poteza milele

Nimekufungulia code

Una swali jingine?
 
Sasa hapo kejeli iko wapi..yaani wewe Utopolo ulichofurahi ni huyo au hizo za kijani...kila mtu aangalie mechi zake...toweni na nyie poster yenu
 
Ngoja nifunge domo ila aliyeandika caption zao ndiye aliyefanya hizo graphics unazosema zimepondwa!

Tulia hii level sio zile zenu! Huku professionalism is everything [emoji2]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kuna uwezekano kwenye hilo ulilosema ni kweli kabisa. Kuna kitu nilitaka kusema ila nimeona niache.
 
Sasa hapo kejeli iko wapi..yaani wewe Utopolo ulichofurahi ni huyo au hizo za kijani...kila mtu aangalie mechi zake...toweni na nyie poster yenu
Kejeli ipo ila ni ya kisomi, tunatoka kwenye kejeli za kiswahili swahili, za husda, wivu na matusi, tunataniana kizungu sasa 🤣😂🤣

Mimi utopolo kivipi tena?
 
Wewe ni mmoja wao na unaonyeshwa umewashwa kureply comment yangu.. jiandae kupelekwa mbuzi kagoma
Pole sana kama ndivyo wanavyokufanya kila ukiwashwa tu heko kwa bwana ako
 
Kuna kingine huyo jamaa amesema. Amesema "Pepe's long lost brother, now we are coming!". Nimekutana na maana hii ya "Pepe's little brother". Mwenye uelewa wa reference hii atujuze nisije nikasema kituko.

View attachment 2517675
Kuna theory inatembea huko mitandaoni. Tukumbuke mara nyingi kwenye mautani yetu, Yanga wamehusishwa na vyura.

Eti watu wanasema huyu jamaa aliposema "Pepe's long lost brother, we're coming!" alikuwa anamaanisha Simba ni ndugu yake Yanga. Kwa maana hiyo anasema "Wewe ndugu yake Yanga uliyepotea, tunakuja kwa ajili yako!"

Graphic designers wa Raja na wa Simba wanashirikiana.

4400 others

MTAZAMO
 
Zaidi sana wametusaidia kuitangaza Serengeti na Mlima Kilimanjaro...
 
Back
Top Bottom