Rajab Ibrahim Kirama (1843 - 1962)

Rajab Ibrahim Kirama (1843 - 1962)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Historia ya Rajab Ibrahim Kirama haikupatwa kuandikwa kwa mfumo wa mathalan wa kuwa na sura ya mswada.

Hata hivyo simulizi ya maisha yake imehifadhiwa kichwani na wengi katika ukoo wake wa Nkya kila mtu kwa kiasi chake alichoweza kuhifadhi.

Ukoo wake wamekuwa wakipokezana historia hii kizazi kimoja kwenda kingine kwa takriban miaka 200. Kuanzia miaka ya 1900 wakati Wajerumani wanaitawala Tanganyika na kufuatiwa na Waingereza na kusoma na kuandika kwa hati za Kirumi kukawa si kitu kigeni tena kwa Wachagga ndipo historia hii ikawa sasa imehifadhika katika maandishi.

Katika nyaraka zake Rajab Ibrahim Kirama kuna taarifa za yale ambayo siku hizo akijulikana kama Kirama Muro alipitia katika harakati zake hasa baada ya kusilimu na kuwa Muislam na kujulikana kama Rajab Kirama kisha Rajabu Ibrahim Kirama pale baba yake Muro Mboyo aliporudi Machame kutoka uhamishoni Old Moshi na kusilimu akawa Muislam.

Katika Uislam ndipo akachagua jina hili la Ibrahim.

Mgogoro wa Rajab Ibrahim Kirama na Mangi Abdiel Shangali kuanzia mwaka wa 1930 pale Rajab Kirama alipotaka kujenga msikiti wa kwanza Machame kaueleza mwenyewe kwa mandishi katika nyaraka ambayo sasa ina umri wa miaka 90.
 
Picha ya Rajab Ibrahim Kirama
Screenshot_20200618-145801.jpg
 
Nnitapata wapi hii niisome?so interested mm nimetokea machame
Historia ya Rajab Ibrahim Kirama haikupatwa kuandikwa kwa mfumo wa mathalan wa kuwa na sura ya mswada.

Hata hivyo simulizi ya maisha yake imehifadhiwa kichwani na wengi katika ukoo wake wa Nkya kila mtu kwa kiasi chake alichoweza kuhifadhi.

Ukoo wake wamekuwa wakipokezana historia hii kizazi kimoja kwenda kingine kwa takriban miaka 200. Kuanzia miaka ya 1900 wakati Wajerumani wanaitawala Tanganyika na kufuatiwa na Waingereza na kusoma na kuandika kwa hati za Kirumi kukawa si kitu kigeni tena kwa Wachagga ndipo historia hii ikawa sasa imehifadhika katika maandishi.

Katika nyaraka zake Rajab Ibrahim Kirama kuna taarifa za yale ambayo siku hizo akijulikana kama Kirama Muro alipitia katika harakati zake hasa baada ya kusilimu na kuwa Muislam na kujulikana kama Rajab Kirama kisha Rajabu Ibrahim Kirama pale baba yake Muro Mboyo aliporudi Machame kutoka uhamishoni Old Moshi na kusilimu akawa Muislam.

Katika Uislam ndipo akachagua jina hili la Ibrahim.

Mgogoro wa Rajab Ibrahim Kirama na Mangi Abdiel Shangali kuanzia mwaka wa 1930 pale Rajab Kirama alipotaka kujenga msikiti wa kwanza Machame kaueleza mwenyewe kwa mandishi katika nyaraka ambayo sasa ina umri wa miaka 90.
 
... mzee ana sura ya kikatili balaa!
 
Back
Top Bottom